Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi


Dada Mwele Malecela ni binti wa Mzee John Samwel Malecela ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa nji hii lakini pia aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali za Uwaziri katika Wizara tafauti tafauti enzi za Mwalimu na wakti wa Mzee Ruksa.
Jambo ninalofikria hapa ni vipi Bwana John Pombe Magufuli anaweza kuthubutu kumtukana, kumdhalilisha Dada Mwele kiasi hichi kisa ugonjwa wa ZIKA..?? Kumdhalilisha au kumtukana mtoto wa Mzee Malecela ni sawa na kudhalilisha na kumtukana Mzee huyo..!!Hivi Mzee Malecela anajisikiaje anapomwona Magufuli akiongea kwenye runinga au redio?

Mtu ulishamtumbua...lakini ana elimu yake ya Kimataifa na kaajiriwa huko kwa sifa alizonazo halafu Rais unaanza kuropoka eti MABEBERU ndio waliomtuma kusema Tanzania kuna ZIKA....!!! Hawa Mabeberu unaowasema ni Shirika la Afya Kimataifa (WHO-World Health Organization)linaloshughulikia maswala ya Kiafya dunia nzima...!!!

Swali la Kufikirisha : Hivi Rais Magufuli akishtakiwa Mahakamani na Shirika la Afya Duniani(WHO)kwa kulidhalilisha na akaambiwa alete USHAHIDI USIOTILIWA SHAKA ya kwamba Dr. Mwele Malecela alitumwa na WHO(Mabeberu-according to Magufuli)kutamka kwamba ZIKA ipo Tanzania na ndo maana wakampa kazi ataweza???
 
Na ile nyingineje? Sihitaji jibu kwa sababu umekwishatoa jibu katika mstari huo mmoja.
Huyu anatafuta sifa kwa kuwafukuza kazi wengine hata kama hawana makosa?
Ile nyingine imeondoka na uhai wa mtu
 
Binafsi nimekuelewa kwa uzuri kabisa mkuu.
 
Hayo ma dessertation watu wengi wanayo swala la uwepo kwenye google au laa....is all about technology.....
but msifate mkumbo kwa mambo ya kijinga...
yule dada aliharibu sana....
muda ni mwalimu mzuri sana....
huo ugonjwa wa zika hatujauona...
Si mnatumia nguvu kuficha
 
Katika hili Magu is right mbona hako kagonjwa alikosema mbombezi wa magonjwa hakakuendelea? Au aliondoka nako? Maana mwele dr alikuwa sahihi tungeendelea kusikia ama kushuhudia watu wakifa. Lakini kimyaaaa
Si mnatumia nguvu kuficha. Mmebana kila kona na miphd yenu uchwara
 
Umesomeka vizuri mkuu.

Kuna wakati huwa najiuliza maswali kuhusu weledi wa hawa wataalamu. Unapokuwa mkuu wa taasisi fulani lazima uwe na uwezo wa kupima athari za tamko lako kwa maslahi mapana ya nchi. Huwezi kutangazia dunia kuwa nchi yako ina ugonjwa fulani Just kwa kesi moja au mbili.
Ukiangalia tangu Dr. Mwele atangaze kuwa kuna Ugonjwa wa Zika mpaka sasa hakuna kinachoendelea kuhusu huo ugonjwa. Je yeye aliondoka na huo ugonjwa ? Au tuseme wagonjwa wa zika wamefichwa na serikali? Magonjwa kama yapo yataonekana tu huwezi kuficha kwa namna yoyote ile.
Juzi Kati WHO + US wanalazimisha Tanzania itangaze kuwa kuna Ebola eti kuna mtu mmoja amekufa kwa huo ugonjwa. Hivi tangu waanze kulazimisha mpaka sasa kuna wagonjwa wangapi wametokea? Je Ebola inaweza kufichwa chumbani?
Binafsi naamini kama hayo magonjwa yapo yataonekana tu muda ukifika lakini wasilazimishe nchi itangaze hata kama hizo issue bado. Tuzidi kumwomba Mungu atuepushie na hayo majanga
 
Subiri uzae taahira ndiyo utajua Zika ipo au haipo
Nimesuburi sana. Naona hakuna kitu. Hivi kusoma ni karibu tu halafu ndio tunakuwa wasomi? Hatutumii akili zetu?
 

Soma hii babu kuhusu ugonjwa wa Zika maarufu kama ZIKA FEVER.
https://en.wikipedia.org/wiki/Zika_fever
Katika maelezo hayo ya mtandao wa Wikipedia wataalamu wanasema dalili za Homa ya Zika zinafanana sana na Homa ya Dengue. Hivi karibuni kumekuwa na mlipuko mkubwa sana wa Homa ya Dengue kwa Jiji la Dar na mikoa jirani kama Tanga. Je, kama ni kweli dalili za homaya Zika na Dengue zinafanana kwanini tusitile shaka kuwa hawa wanao ambiwa ni wagonjwa wa Dengue ni wagonjwa wa Zika? Kama nchi hii leo watu wanauawa, wanapotezwa na wanashambuliwa kwa risasi mchana kweupe lakini Serikali hii inakuja na majibu rahisi ya WATU WASIOJULIKANA, kwanini tusiamini kwamba hata hii DENGUE ndiyo hiyo ZIKA? Never trust a Government of Liars like the one we have it now...!
 
Acha kudanganya watu wewe..!!
Hivi Mkurugenzi wa Hali ya Hewa kila siku wanapotangaza UTABIRI WA HALI YA HEWA huwa lazima kwanza aongee na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi? That is unnecessary bureaucracy so to speak..!!!
Mkuu unaniaibisha, unalinganisha hali ya hewa na utangazaji wa ugonjwa!, kuutangaza mlipuko wa ugonjwa ni kazi ya waziri wa afya. Dada Mwele alipaswa kwanza kuongea na waziri wake ndipo atangaze kama zika imeingia Tanzania au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…