Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Hayo ma dessertation watu wengi wanayo swala la uwepo kwenye google au laa....is all about technology.....
but msifate mkumbo kwa mambo ya kijinga...
yule dada aliharibu sana....
muda ni mwalimu mzuri sana....
huo ugonjwa wa zika hatujauona...
 
You are stupid bro!
washenzi lazima waambiwe
 
Ni bahati mbaya sana tuna kiongozi ambaye akiwa jukwaani anahisi wanaomtazama na kumsikiliza ni wale tu walioko pale uwanjani
 
Kashafeli sasa afanyaje hatahilo nalo kaona lakusema ,wanambeya kiboko wamebana korodani mpaka amekosa chakuongea kaongea utumbo
 
Aendelee kutumika
 
Tatzo sana kwa kiongozi wa nchi

Neno kumtumbua ni la kishamba sana

Yeye si mtaaluma,yule m'mama alisema zipo dalili

Anapoboronga ni kulazimisha waTz wote waamini yeye ndo masiha

Ni mtu wa kupenda kusutana

Ana tabia za kike,kusengenya

Huu anaoharibu ni mfumo na kurejesha hii hali itachukua hata muongo na zaidi

Kama anafanya yaliyo bora aache kusema na watu wataona na kusema Magu ni bora

Anajisifia hata kwa upuuzi na kufanya watu wengi wamsujudie kwa udhaifu wake

Si mtu mwema katu na hatakua sababu matukio ya damu yametumika kupamba ofisi kubwa(kibiti,viroba,akwilina nk)
 
mheshimiwa ni mtu mzima, ana elimu kubwa, cha ajabu he is still seeking cheap popularity.
 
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Yes, she is well educated lakini kama mkurugenzi wa taasisi kubwa ya tafiti za magonjwa aliteleza kutoa taarifa ya ugonjwa mkubwa kama Zika bila wakubwa wake kuwa na taarifa...(siamini kabisa kama anatumiwa na mabeberu)

Inaonekana watu hawaijui sana Zika, hivi mfano ingekuwa ni ugonjwa kama Ebola hivi, kabla ya mtu wa taasisi ya NIMR kuutangaza unadhani Ikulu isingejulishwa kabla?

Hizi Pandemics huwa zina kautaratibu wake wa namna ya kujulisha umma...
 
Hapa naona watu wameishia kunanga PhD tu..Lakini tumeshindwa kujibu kile alichohoji Mh Rais?je Zika iliishia wapi?Au Dr.Mwella aliondoka nayo kuirudisha UN-WHO?Mimi nataka kujua kama ilikuwepo ilimalizikaje?
 
Kwa mara ya kwanza tunapata rais msema kweli. Haya magonjwa tunaletewa sana na hawa wazungu.

Hiyo Ebola, Zika sijui ukimwi ni upuuzi mtupu
 
Hapa naona watu wameishia kunanga PhD tu..Lakini tumeshindwa kujibu kile alichohoji Mh Rais?je Zika iliishia wapi?Au Dr.Mwella aliondoka nayo kuirudisha UN-WHO?Mimi nataka kujua kama ilikuwepo ilimalizikaje?


HABARI ZA KUWEPO AU KUTOKUWEPO ZINATOLEWA NA NANI?

UKIJIBU NARUDI.
 
Na mpaka leo ZIKA hakuna Tanzania kudhihirisha zilikuwa taarifa za UONGO! Hongera Rais Magufuli!
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Kwa nini tunapenda kusikilizwa, ila hatupendi kusikiliza... this is a one man show...



Cc: mahondaw
 
Mkuu jana nlikupa swali hukujibu.

Unaamini ni kweli angeweza kutoa taarifa kama hiyo bila wakubwa kujua?

Lile swala la kikokotoo unaamini rais alikua hajui mpaka akaishia kumtumbua yule mama?

Mkuu tumia akili vizuri na usipende kuamini kila kitu kinachosemwa na mwanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…