Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Huyo nae mropokaji wote treni lao moja
Nanukuu
"Nyerere alikua rais mwongo mwongo na mwenye hila"
Sasa hivi yeye TL kawa kama mbayuwayu hajui afanye nini kambi kashanyea.
😂😂😂😂 Akafie mbele huko, nasikia ana ziara, sijui ziara kama nani
 
WACHUNGUZI HURU, WANASAMBAZIA WAPI TAFITI ZAO?

VIONGOZI WETU SI WA KUWAAMINI KWA JINSI WANAVYOTUNGA SHERIA ZA KUFANYA MAMBO KUWA SIRI.
 
Mbali na vijembe.
Kumbe unaweza kuficha ugonjwa (wa Ebola na bado ukafanikiwa kuuficha kama ilivotokea kwenye Zika) na usiumbuke? Basi wewe utakuwa muumbaji wa huo ugonjwa.
😍😍😍 Laiti nyumbu wangeng'amua hili japo kwa juu juu wangeona jinsi gani akili zao zilivyo mavi

Hivi unaanzaje kuificha Ebola? Zaidi ya mwezi sasa haijau angalau watu 500?pathetic, aliewapa jina nyumbu hakukosea
 

Hii argument iko fair na reasoned. Lakini ni ngumu kukubali kwamba ni tofauti ya uelewa wa protocol za kufuata kutangaza majibu ya tafiti kama husika ndio sababu ya yote haya. If anything, yesterday's proclamations continued to demonstrate lack of reason and understanding nuanced subjects on the part of our administration.
Timing ya tamko linanipelekea kuamini limetolewa kuwajibu wanaosema kuna uwezekano wa kuwepo kwa ebola case. Kama ni utalii, Waingereza, Wamarekani na Wakanada wameshatoa angalizo kwa watu wao, na tamko la jana sioni kama lina msaada kwao. Lilichofanikiwa kufanya ni kuwaogofya wataalamu wetu kwenye ufanyakazi wao wasirudie kosa. Gharama yake ni uwezekano wa mgogoro na haya mashirika.
 
Alisema kuna dalili za ugonjwa wa ZIKA not kuna ugonjwa wa ZIKA
Vyovyote alivyosema, taarifa ya pamdemic kama Zika ilipaswa kujulikana Ikulu (kuna kitengo cha maafa), Wizara, Usalama wa Taifa na Jeshi...

Hizi ni protokali mkuu na wala hazihitaji mjadala...
 
😂😂😂😂😂 Kaa Google maisha yako yaelekea usawa upi, ukikaa kugoogle JIWE unapoteza muda wako tu

Yaani Magu ni don't care person, yeye hata umchukie vipi wala kwake hajali anasimama kwenye ukweli tu kama bulldozer linanyoosha tu, PhD my foot
 
😂😂😂😂 Kamfate msoga umtunuku urais
 
Katika hili Magu is right mbona hako kagonjwa alikosema mbombezi wa magonjwa hakakuendelea? Au aliondoka nako? Maana mwele dr alikuwa sahihi tungeendelea kusikia ama kushuhudia watu wakifa. Lakini kimyaaaa
Inawezekana kulikuwa na "Patient Zero", ila si unajua serikali ina mkono mrefu...if you know what i mean
 
Yeye alichanwa ukweli na Heche akabaki akisema usinijibu hivyo wewe ni kama mwanangu,hahah.
 
Hapo ndipo utakapoona tofauti kati ya PhD ya krosho vs PhD ya MD
 
As long as Dr Mwele mwenyewe hajajitetea kuwa aliwapa taarifa wakubwa zake, kwa nini sisi wananchi tusiamini kuwa aliteleza katika hilo?
 
Yeye alichanwa ukweli na Heche akabaki akisema usinijibu hivyo wewe ni kama mwanangu,hahah.
😂😂😂😂 Ukweli upiii huo Acha uongo, Heche alikua akitumia lugha ya command katika kuadress shida za jimbo lake na sio personal life ya Magu, hana huo ubavu

😂😂😂 Jana naona wabunge wote wa chadema kutoka nyanda za juu walikua high table wanapiga makofi balaa kwa JIWE
 
Huyu Amshukuru Mungu kuwa ana passport ya UN vinginevyo asingekuja ondoka wala kanyaga Tz. Na jamaa alivyo na kinyongo lazima atalipiza kwa familia yake
 
Huyu Amshukuru Mungu kuwa ana passport ya UN vinginevyo asingekuja ondoka wala kanyaga Tz. Na jamaa alivyo na kinyongo lazima atalipiza kwa familia yake
huyu ni wa familia ya john au siyo?
 
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Unataka kusema? Au unataka kufanya ulinganifu na ya mlopokaji mahala ilipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…