Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi


Sasa Zika iko wapi? Nayo inafichika kama shilling ya mkoloni?
 

Alimtimua!

Aliondoka!

Hakusema kitu tujue ukweli wake!

Hakumsema chochote aliemtoa kwenye nafasi,alinyamaza kimya!

Hakutoa makala au kuandika kitabu chochote au kufanya interview yoyote kusema her side of story!

Yaliisha akaenda na maisha yake bila tatizo na mtu!

Leo bado mwenye utukufu wote anamsema mtu mnyonge asieweza hata kujibu lolote!

Mwanamke mnyonge,asie na power yeyote!

Hivi kuna nini bwana mkubwa anakiogopa sana kutoka kwa huyu mwanamke!

Kuna kitu very serious wrong na huyu raia!

Ukishafukuza,ukaweka wengine,watu washa move on,huna ya kufanya makubwa zaidi ya haya kumsengenya mtu ambae ulishamtolea hukumu siku nyingi?
 
Hebu just imagine mkuu! Mtu mzima anakaa miaka mitatu karibia minne na kinyongo? Alishamtumbua..mama wa watu kashaendelea na maisha yake...wananchi tushasonga mbele..yeye anakuja kuyafukua tena!?

Naanza kuamini ni Mungu alimfanyia wepesi yule mama akaondoka nchini hapa...na naomba akae huko huko asirudi mpaka huyu jamaa aondoke kwenye hicho kiti. Maana kwa kinyongo hicho inawezekana wakati ule baada ya kumtumbua huenda alikua anamuandalia kesi ya utakatishaji fedha au uhujumu uchumi ili mama wa watu aozee lockup.
 
Umeoneee...na wakati huo jamaa atakua kakaa pembeni amembebesha zigo mtu mwingine.

Ila kusema kweli nimeanza kuona ni kwanini waziri ummy anapata kigugumizi kwenye ebola...maana kwa kinyongo cha huyu jamaa..akitangaza anaweza akafungwa lockup kabisa kwa kuhujumu uchumi.
Baada ya miaka 10 ndipo utakapojua kuwa begani kwako kuna mzigo wa madeni usioweza kuutua huku kwenye vibanda vyako vijana wasomi bila ajira, waliogeukia ukibaka!!!
 
Hahaaa eti ni don't care! Seriously?!
Basi amwache Dr. Mwele apige kazi, tayari yuko juu japo juhudi za kumshusha zimegonga mwamba na yeye aendelee na u-dont care wake!!
 
Tabia ya kificha majanga imekua ni desturi kwa awamu hii ya 5 kisa kuogopa watalii wasijue.
Kipindupindu kimeua sana wilaya ya ngorongoro hakuna aliyethubutu kutipoti
 
Sasa Zika iko wapi? Nayo inafichika kama shilling ya mkoloni?
Zika si ugonjwa wa mlipuko. Unakula taratibu na hivyo kuua maelfu kimya kimya. Sasa ikiwa mtaalamu aliachishwa kazi saa Saba na nusu usiku, waliobaki wanaogopa kumwaga unga.
Kwa serikali inayopenda sifa, kuficha uovu kwao si taabu. Kuiamini ni kujitoa ufahamu.
 

Do you know the effects of Zika? Tuache masihala. Watoto wanazaliwa na kichwa upande.
Shida yetu kubwa ni kuwa wasomi tunaokariri
 
Kuna mtu kakutanishwa na Joka lenye njaa kwa kuhoji hiz mambo
 
Do you know the effects of Zika? Tuache masihala. Watoto wanazaliwa na kichwa upande.
Shida yetu kubwa ni kuwa wasomi tunaokariri
Hoja ni kuwa watoto hao wakizaliwa Muhimbili kwa mfano; Ni daktari gani atakuwa tayari kuweka hadharani kuwa wapo!!!?
 
Katika kipindi ambacho huyu dada anapaswa kukaa kimya na kuacha mambo yapite na wakati uamue ndiyo huu.
Dada amejibu na ni haki yake. Yeye Ni 'citizen' wa nchi hii. Magufuli kuwa Rais hakumpi haki ya kuwachokonoa watu na kuwafanya maadui wa nchi.
 
Angalia mkono wako. Hii ni Tanzania usiandike jambo huna ushaidi ukaisumbuwa nafsi yako. Hili nitaifa kamili.
You have guts, bado watu wametunza msg yako kwa Ben Saanane! Wanakumbuka
 
At the end of the day, issue ya Dr. Mwele is a done deal na hakukuwa na sababu ya Rais kuliongelea tena na kuonyesha kuwa Mwelle alifanya hivyo kwa maelekezo ya WHO, ambao anawaita mabeberu!!! Hao unaowaita mabeberu, kesho unakimbilia misaada toka kwao. Tuwe na aibu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…