ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Mkuu mbona kama hapa na wewe hujakaa kimya? Unajua kwann umeongea? Umekereka na majibu yake. Ulitaka anyamaze.Dr. Mwele ungekaa kimya mama!, ukishambuliwa ukatulia mimi huwa naona inakuwa bora zaidi kuliko kujibu...anyway watu tunatofautiana malezi!
Sasa Imagine wewe ambaye haikuhusu umeongea kwa sababu amefanya kile usichopenda, Je yeye ambaye inamuhusu moja kwa moja kwa kufanyiwa kile asichopenda?
Ukishambuliwa instict zinakutuma ujitetee. Ni Mara chache sana, kwanza si Mara chache lazima utajitetea tu kwa rafiki, au kwa ndugu au rohoni kwako. Lakini utajitetea.
Kama Ile tweet ililenga kumjibu mh, basi ni vizuri maana Mh atajua ni nn huyu mama anawaza juu ya makosa anayoamini mama ameyafanya. Kama hili kosa kalifanya kweli basi raisi ameshajua kuwa huyu mtu hajajutia pamoja na mm kumuadhibu.
Mfano angetweet ' Watz mnisamehe, Raisi wangu nisamehe mjadala ungekuwaje?