Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

Yule mama wa Bkb amefuata nyayo za dr. Mwele. Nimependa ujasiri wake wa kusimamia anachokiamini kuliko angeleta data za uongo.

Mungu ndye juu ya kila kitu.
Hakuchaguliwa na wanachi wa bukoba na ndio maana hakuona haja ya kujua data hizo. Meya alijua kwan wanachi wa manispaa ya bkb wamemtuma kujua. Ukitaka kujua hilo sio dc sio rc sio mkurugenzi anajua kuhusiana na hizo fedha
 
Hana lolote, hao ni Dr bumba mkuu, alitutangazia gonjwa feki, awatangazie wazungu huko
 
Sikumtegea huyu asikumizwe Ikulu maana nilijua uwezo wake ni SIFURI na hata aliposukumiziwa huko sikutegemea awe na roho mbaya kiasi hiki chuki za kutisha, udikteta uchwara , kutotaka kushauriwa kwa kujiona anajua kila kitu, ukurupukaji na sera MUFILISI. Maskini Tanzania yetu!

The problem was ccm now the problem has given birth to a bigger problem magufuli sjui nimalizie ..........
 
View attachment 625580

Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.

Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
Tuzo
 
Ktk kipindi anachozawadiwa, mtu huyu alikuwa mkurugenzi wa NIMR. Swali langu zawadi hiyo amepewa yeye kama Mwele au NIMR? Iweje yeye binafsi apewe? Alifanyakazi peke yake bila kuihusisha taasisi wakati yeye ndo alikuwa CEO?

Mambo mengine yanatuacha hoi na tuliozoea kuhoji hatuwezi kuacha kujiuliza. Tungependa kufahamu kwa muhtasari, nini alikifanya hadi hatua hiyo maana hawa jamaa hawakosi kukupa zawadi ya ushujaa kwa kuzikomoa nchi hizi na kutoa tuzo za kinafiki ili kuonyesha umahili wa mtu ambaye hatuuoni sisi wananchi. NIMR iko TZ, nini kimefanyka nchi hii kwa mama huyu??
 
Aibu kwa Magufuli zee la mihemko,wivu,majungu,mipasho,fitna,visasi
Hata mpirani tunashangilia goli linaloonekana. wewe unaamini amefanya la maana? Lipi? Umeliona? Hawa ni wazungu bosi, utaingia mkenge kwa sifa zao. Kutangaza Zika? iko wapi?
 
Nikimwangalia huyu halafu nikamwangalia Le Mutuz napata definition ya faida na hasara kwa mifano
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mtafiti, na kuwa kiongozi

Maybe Mwele alikua researcher mzuri sana lakini hakua na same qualities kama kiongoxzi wa institution
Alidumu kwa muda gani?
 
View attachment 625580

Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.

Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
Hongera zake ila ni Pigo kwa Raised wetu na majizi ccm kwa ujumla
 
Zika imeishia wapi!
in short kuwa trace element ya zika sio kwamba ndo tayari umepata gonjwa,,,,kuna viral load ikifikia ndo unaweza kuugua na kusababisha mlipuko...mbona haihitaji even rocket scientist to figure it out
 
Back
Top Bottom