Watu wengi tumeikatia tamaa.Nchi yetu haina future tena. Acha tu Waafrika wengine wenye akili watunyooshe kwenye uchumi
Umeeleza vyema sana mkuu, nchi yetu inasikitisha sana hakuna credibility tena kwenye uongozi, uchumi wetu unaendeshwa kiholela na hakuna caution wala consistency mahala popote. Media zote hawajadili tena masuala muhimu ya nchi wamebaki kusifia watawala wanaoharibu uchumi wa nchi. Hali inaenda kuwa mbaya sana, muda utaongea.Huyo mtu alishatumbuliwa wakati wa Magu, kwa uwezo mdogo. Sasa mama akamrudisha matokeo ni uchumi kuporomoka kutoka $89b mpaka $87b.
Per capital kuporomoka kutoka $1300+ to $1100. Cha kusikitisha vyombo vya habari viko kimya. Hakuna hata kiongozi mwenye uwezo wa kuhoji. Wakati report za IMF ziko wazi
Nchi ina inflations za kufa mtu sasa.
Uchumi unaporomoka toka 2022 na population inapanda kwa kasi.
Yaan tunapitwa vinchi kama ghana, ivory coast, angola. Nk.
Kenya hao ndo hawakamatika wana GDP ya $136b wanakaribia mara mbili. Uchumi wa kenya uko imara kwa sababu wako cashless. Unaishi miaka kenya hujawahi oná hiyo noti yao. Malipo ni kwa Simu tu. Sio kama sisi watu wananua viwanja vya million 10 wanalipa cash. Sisi hatutaki Lipa kwa Simu kuwalinda mafisadi na makampuni ya Simu na Tozo zao. Ukilipa kwa Simu kwa 25000k unakata 2000 kabisa. Na hakuna hata mbunge wa kusema au Waziri wakuzungumzia hii issue inavyodumaza uchumi.
Tunashindwa nini sisi kuwaiga wakenya. Ambayo transaction zao zote zinajulika hivyo kujumuishwa kwenye GDP yao?
Pascal Mayalla huna namba ya nchema tu tag hapa atupe ufafanuzi masuala hayaShirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Kabisa inakatisha sana tamaa kwakweli, wataalamu hawana thamani tena nchini na hii hata inapunguza molali ya vijana wetu wengi walioko mashuleni kuweka juhudi kwenye masomo yao kwa kuamini zaidi kwenye uchawa.Watu wengi tumeikatia tamaa.
Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora
Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?
Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b
Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Acha tu, hata mimi nilikuwa mzalendo sana. Sasahivi inabidi niache kufuatilia haya mambo ya nchi. Yanaumiza sana kwa kweli, ngoja nifuatilie tu mada za technology, vitu vyangu ninavyovipendaWatu wengi tumeikatia tamaa.
Mimi nilikuwa mzalendo kweli. Ila kwa hali hii ya kutojari na kupuuzia professionalism na kukumbatia uchawa na undugu.
Nimestaafu kufuatilia mambo ya nchi hadi hapo nchi itakapopata viongozi bora
Tanzania ni ya kupitwa na vinchi kama Ghana, Ivory coast Angola?
Tanzania ingeendelea na kasi yake iliyokuwa nayo wakati wa Mpango akiwa Waziri wa fedha. Sasa tungekuwa na GDP ya $100+b huko. Lakin cha ajabu tumeshuka toka $89b to $87b
Tunaenda kuwa kama Congo DRC, kubwa jinga lenye masikini wa kutupwa
Mkuu tumekosa siasa safi na viongozi bora....changamoto ndio ipo hapoLakini mbona nchi yetu ina resources sana; Au watu weusi hatuna akili au shida nini jamani
Walizoea takwimu za kupikaShirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
View attachment 3491713
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji mdogo katika rasilimali watu, ukandamizaji wa demokrasia, utegemezi wa kilimo chenye tija ndogo, miundombinu duni, ukosefu wa ajira bora kwa vijana, mazingira magumu ya biashara, mfumuko wa bei, deni la taifa linaloongezeka, na utekelezaji dhaifu wa sera na mipango ya maendeleo.
Nini maoni yako mwana jamvi?
Na kibaya kwao saizi raia hawawaamini tena ukiacha wana CCM wenzaoWalizoea takwimu za kupika
Ukiwa na akili huwezi kupata nafasi ya kuongoza Watanzania,Lakini mbona nchi yetu ina resources sana; Au watu weusi hatuna akili au shida nini jamani
Wanapika lakini haziivi,Walizoea takwimu za kupika
Halafu wanajisifu wao wenyewe kama matahira fulaniWanapika lakini haziivi,
ukija upande Wa ajira unakutana na kina Mzee wasira mpaka wanazeekea ofisiniKabisa inakatisha sana tamaa kwakweli, wataalamu hawana thamani tena nchini na hii hata inapunguza molali ya vijana wetu wengi walioko mashuleni kuweka juhudi kwenye masomo yao kwa kuamini zaidi kwenye uchawa.