Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5


Hongera rais mteule sasa kazi tu tunataraji utawatumikia watz wote kama ulivyoahidi bila kujali itikadi zao.na hongera lowasa na ukawa yako umeleta ushindani wa kweli hadi wastaafu wakashiriki kwenye kampeni na nyie ni washindi mmeongeza % zenu za ushindi kubalini matokeo rudini mkajipange tujenge tz yetu
 
Mungu akuongoze akupe zaidi hekima akili na maarifa ukaiongoze nchi yetu ipasavyo.
 
ARUSHA: Mji kama umetiwa ganzi wananchi hawaamini nini kimetokea, kauli za wengi ni 'basi tena'. Ila mitaa mingi ni kama picha inavyoonesha kwa mbali.
 

Attachments

  • 1446126437539.jpg
    96.2 KB · Views: 351

Acha kuwa mpuuzi mkuu. Unadhani wewe ndio pekee una akili kuliko mamilioni waliofanya maamuzi haya. Again, acha upuuzi na dharau kwa wananchi.
 
Hakika toka moyoni mwangu, Magufuli si rais wangu bali ni rais wa ccm. Ila kwa katiba iliyopo atanitawala kilazima. My heart to cdm and ukawa, shall remain.

Hata mimi hapa Ubungo wamechagua limbunge linafiki li-kubenea la chaggadema silipendi na kibaya zaidi na diwani ni chaggadema yaani ni kama naishi motoni.Nayachukia sana lakini ntafanyaje ndio demokrasia walio wengi wanaamua na wachache mnakaa kimya maana wanasema penye wengi hapaharibiki neno na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Show zako za OZ zimeleta matokeo chanya.. Naamini utakua na faraja sana kwa malengo yako kutimia...

Sio vibaya ukituwekea links ya shows zote za OZ.
 

wataanza kumkumbuka Dr. Slaa ambaye aliposhindwa uchaguzi 2010 alitumia nguvu nyingi sana kukijenga chama.

tofauti na huyu mzee alishasema akishindwa anarudi kwao kuangalia mifugo yake
.
 
Wakuu

Baada ya matokeo yaliyompa ushindi 'wanaoujua' Dr John Magufuli kuna juhudi za kuwakatisha tamaa wana mabadiliko.

Kamwe sitawachukia Ukawa kumpa tiketi Edward Lowassa,matokeo yametutoa hatua moja mpaka nyingine,ntaendeleza harakati za chama ktk eneo langu kama kawaida.

Ntaendelea kuipenda chadema kama mbadala wa ccm,nafurahi wameongeza idadi ya wabunge mapambano yaendelee.

Nichukue fursa hii pia kumpongeza Freeman Mbowe..tunakuamini na endelea kuongoza chama kwani idadi ya madiwani na halmashauri tulizopata imekuwa maradufu.
 
cjawah kuona rais anatangazwa wananchi wapo kimya Yani dar kimya kama kuna msiba wa kitaifa hv mfano lowassa ndo angekuwa ndo mshind cjuh ingekuwaje mda huu
 
Hayo ndio maneno ya mwana demokrasia aliye komaa.
Kudos kwako pro UKAWA.
 

haaaaa haaaa
 
Na wengine baada ya 2010 walikuwa wanasema Slaa ni Rais wao...Rais wa mioyo ya watanzania...

Kazi kwelikweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…