Ukweli ni kwamba Tanzania imehukumiwa miaka mingine mitano ya Maisha magumu, Umasikini, kuporomoka kwa elimu, kuporomoka kwa shilingi, Mfumuko wa bei, kupanda kwa deni la taifa, kufutika kwa tembo wetu, kuporwa madini na gesi yetu, Ufisadi papa ulio juu ya sheria n.k. Ole wetu watz, ni nani aliyetuloga.
Kumbe 59% tu sio 99% ulivyojigamba!
Mungu ni wa haki! Kama umeona ameshinda kwa haki sawa jua ni Mungu lakin kma kwa mapenzi yenu jua bado Mungu yupo kazini!
Dar..Arusha..Mbeya..kilimanjaro..Mwanza..wana akili..wengine wa dodoma watabak ombaomba daima..singida wameridhika na kuuza baa...Tabora endeleen kufuga nyuki...Ruvuma endeelen na ulevi wa pombe za kienyej
Swala la kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi sahau.
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
Mzee Lowasa sijui maden utayarudishaje, hapo lazma utafarakana na marafiki zako.
Mr Zero sijui utaishi vip mjin maana kichwan hamnazo ila ulikuwa unabebwa tu. Kingunge presha inapanda presha inashuka stend ya ubungo kwishney.
Mbowe anaumiza kichwa namna ya kuunganisha chadema tena. Mtamkumbuka mzee Slaa