Ksuley1411
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 356
- 53
Kila mkoa kiwanda
Kila kijiji million 50
Ili hitaji uwe na akili za chawa kufikiri Magufuli asinge tangazwa mshindi.
USHINDI WA MASHAKA.
dah amina mkuu..naomba mungu amjalie ilo..asitusahau sisi masikini tulio wengi..sio lzm atupe pesa mfukoni ata akishusha bei ya bati na cement amaetenda
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.
Kazi kwetu watanzania
IQ ya watanzania itaendelea kudharauliwa kwa miaka elfu ijayo..
Msiseme Hivyo Jmn!! Maana Uchaguzi Ni Mchakato Tu!! Huenda KATIBA MPYA Ikiwa Na Vipengele Vya KUHOJI MATOKEO Ya Urais MAHAKAMANI Itatusaidia!!!
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.