Bila shaka, ni manung'uniko kila kona, hasa kufuatia utabiri wa January Makamba kwamba Magufuli lazima atanganzwe leo.
Kumekuwepo ujuma za wazi, hasa ushahidi wa Matokeo ya kule Bumbuli, ambayo yalikuwa dhahiri kabisa kwamba mchezo fulani ulichezwa.
Hii inatuacha kutafakari kwamba: je, Magufuli ni Rais wa NEC au wa Watanzania?
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.
Kazi kwetu watanzania
Maamuzi Makini yamefanywa kwa Mtu Makini JPM. Ana uwezo na anaaminika.
Huyo ni rais wa tanzania mkipenda msipende
Aliyelipia wimbo ndiye huchagua wimbo. Magufuli hajalipia huo wimbo. Atacheza wimbo wa aliyeulipia.
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
haina msisimko
haina mashiko
haina hisia.
kuna tofauti kubwa sana ya mapokeo ya kutangazwa kwa urais na ulinganifu wa matokeo ya kutangazwa kwa rais kwa mwaka 2005 na 2010
Hatumtambui na Tutamuonesha,hataweza kuitawala hii nchi kamwe
Mtajua wenyewe na li-nchi lenu.
Aendeleze sera ya CCM kuwatawala majuha.