Maeneo mengi ccm imepata kura nyingi ndiyo biashara ya utumwa ilishamiri na ndio machifu walitawala kama miungu kwa kuuza watu utumwani,maeneo ambayo ukawa wamepata kura nyingi ni maeneo ambayo wakoloni waliwaogopa wakawajengea shule na miundo mbinu na kuwatumia kama makarani na manyapala,na hata ccm inafuata mkondo huohuo maeneo ambayo wana jenga miundo mbinu na huduma za jamii ndiyo waliopigia ukawa na hata ukifanya sensa vyuo vikuu utapa ramani hiihii walio wengi wanatoka maeneo haya.
hivi watawala wana siri gani juu ya hili?
hivi watawala wana siri gani juu ya hili?