Dr Sengondo Mvung, aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, amefariki leo majira ya Saa Tisa na nusu alasiri katika Hospitali ya Milpark huko Afrika Ya Kusini. Mungu ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi.
Source: HusseinBashe Tweets.
Hivi ni sahihi kusema Bwana ametwaa katika mazingira haya? Wataalam wa Theologia tusaidieni tuseme nini kwa watu wanaoondolewa uhai wao kwa mapenzi ya binadamu? R.I.P Dr Mvungi