TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Dr Sengondo Mvung, aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, amefariki leo majira ya Saa Tisa na nusu alasiri katika Hospitali ya Milpark huko Afrika Ya Kusini. Mungu ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi.

Source: HusseinBashe Tweets.

mungu ailaze roho yake mahala pema peponi,wale wote waliohusika wawajibishwe ipasavyo
 
Kwa uchungu mkubwa naweza kusema kwa jinsi alivyokuwa Mtetezi wa Wanyonge! Marehemu Dr Sengondo Mvungi alijisikia vibaya kufyatua risasi japo moja tu akitaka ku-reconcile na hao Vibaka/Majambazi akidhani ni njaa zinawasumbua tu (MTAZAMO WANGU) RIEP Dr.Sengondo, Poleni wafiwa.
 
jamani tunaomba watu mtuteremshie lolote mnalolijua kuhusu Dr. Wetu huyu kuanzia kuzaliwa kwake hadi kufa kwake.
 
dah! Kama ndoto vile Dr umeondoka, wengi wanaamini wamelala, na wataamka muda wowote watoke ndotoni...umeondoka mapema wakat taifa na taaluma ikikuhtaj. Mungu akupumzshe kwa amani.
 
Hivi ni sahihi kusema Bwana ametwaa katika mazingira haya? Wataalam wa Theologia tusaidieni tuseme nini kwa watu wanaoondolewa uhai wao kwa mapenzi ya binadamu? R.I.P Dr Mvungi

Kwa kuwa ni lazima tufe basi kila mtu ataondoka kwa namna yake, yaliyobaki tunamuachia mola kwa misingi ya wale wanaoamini kuwepo kwa muumba mbingu na inchi
 
R.I.P dr. Mvungi! Hata tuliobaki ni marehemu watarajiwa! Mungu akulaze mahala pema.ameni!
 
Lala kwa AMANI Dr. Mvungi, inauma sana hukustahili kufa kifo cha maumivu namna hiyo.
 
ni masikitiko makubwa. pole sana kwa familia.
R.I.P Dr Mvungi.
 
Back
Top Bottom