chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka
It sounds like there is a substance in yr comment!Watu muhimu kama huyu wangehamishwa City centre kuna usalama sio mwituni. Wahindi sio wajinga kukaa jijini.
Mkuu umethubutu,HongeraBila shaka Ccm ndo watakuwa wa kwanza salamu za rambi rambi! Tusisahau pia kuwa Ccm ni mabingwa wa kuhudhuria misiba ya watu maarufu.
Lakini je wanaweza kujinasua na kifo hiki? Kama mjumbe wa tume ya katiba anauwa na vibaka itakuwaje kwa raia wa kawaida? Wajumbe wa tume wamekuwa wakilindwa muda wote imekuwaje kwa Mvungi? Au ni baada ya kupendekeza serikali tatu?
Lakini uvamizi huu tunautofautishaje na wa Kibanda au Ulimboka? Je tunakumbuka maneno aliyosema Mbatia bungeni? Kwa nini haridhiki kwamba ule ni uvamizi wa majambazi kawaida?
Tutarajie mkanda wa mkenya mwingine kuhusishwa au mara hii atakamatwa mchina, maana juzi tuliona wa pembe za ndovu msishangae kuona wa mauaji!
Nadhani sasa Dr Mvungi amepumzika.
Majeraha ya upanga yangeendelea kumtesa muda mrefu.
Amelinganisha kati ya kubaki na kwenda, akaona itafaa zaidi akienda.
Nadhani amemhurumia sana mkewe akijua kuwa angeumia sana kumuuguza maisha yote na familia nzima ingekuwa katika maumivu.
Atakuwa pia ameona haifai kuonana na wauaji wake katika dunia hii, pia ameona roho yake inasita kusalimiana na waliomtuma muuaji na kuonana nao uso kwa uso.
Binafsi namuunga mkono. Ni bora tu ameenda.
Duniani huku kuna mateso na taabu. More you live more you expose yourself to trouble and agony.
Mateso yamekwisha.
Kwanini kusumbua watu bana!...hata ningepona hapa hospitali ni lazima ningekuja kufa siku ingine, sasa kwanini kuwaliza watu multiple times.
Hata hivyo nimeweka kumbukumbu yangu ya kutosha. Kama ni wa kuelewa wameelewa...tofauti na hivyo wasingekaa waelewe hadi dahari.
Kutafuta mno ukweli na haki kuna gharama yake, huenda labda ndio nalipia.
My Promotion to Glory...No more trouble!
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka