TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Tatizo la kutolelewa na wazazi ,hujuh ni wakati gani uongee nini na wakati gani ufiche ujinga wako.

Mkuu tupo msibani unataka malumbano ya nini? Yeye kaeleza hisia zake na jinsi anavyomfahamu Dr. Mvungi. Sasa unataka ya Lema kwani kafa?! Subiri afe ndio uone aina ya salam za rambi rambi zitakzo tolewa.
 
Comedian wa Jeshi la Polisi alishasema eti kofia ya CHADEMA ilipatikana kwenye crime scene

This is where there is a link ( political assassination with blaim shift). Tulishajua janja yao. Yanamwisho. Tulishajitambua. Time will tell.
 
We are sorry for your loss.
Dr sengondo mvungi, was such a great person,
he will live on in our memories forever
 
R.I.P. Dr Sengondo Mvungi!Ulikuwa shujaa wa kweli wa watanzania!
 
WAMEMUUWA, HANA KOSA LOLOTE, MSIMAMO WAKE ULIKUWA MADHUBUTI, NAAMINI WAMEMUUA, KAMa KAWAIDA YAO
 
Watu wote mnaotukana sidhani kama mnamtendea mema matehemu na familia yake. Mtmbuweni kuwa huu ni wakati wa maombolezo tu, si vyema kuzidi kuipa familia yake machungu ya kuzidi mnooo. Wauwaji wamekamatwa na ushahidi upo tusubiri sasa sheria uchukuwe mkondo wake. Kama walihusika kibinafsi ama kichama ama kiushabiki tu, yote yatafahamika, tusizuwe mambo baadaye tukajenga Uadui usio na maana yeyote. Mimi naamini hao jamaa hivi sasa miongoni mwao yupo anayejuta sana sana. MWENYE ENZI, MUNGU AMLIPE MEMA ALOYACHUMA. POLENI SANA FAMILIA PAMOJA NA WANAFUNZI WAKE MARAFIKI NA WOTE WENGINEO MLOGUSWA NA MSIBA HUU KWA NAMNA YE YOTE ILE. TUKITAMBUA UTAIFA WETU MAKUNDI HAYATA TUDHURU. AAAAMIIIIIIIN
 

mkuu huo ndio ukweli, kama taifa hasa wana harakati inabidi muwe maikini sana.
 
Si kila kifo ni mpango wa mungu, maandiko yanatwambia ''msimwogope awezae kuua mwili ila hawezi kuua roho'' wamemuua.. Ila nao watakufa...
 
Kabla ya kukulaumu natamani kwanza kujua mama yako na baba yako then nilinganishe muunganiko gani wa begu za kijinga zinazoweza kutoa kiumbe asiye kuwa na chembe hata moja ya akili? Pole sana kwa bahati mbaya.

anza kwanza na wazaz wako tena kwa upande wa mama,then ulinganishe na akili ya yule mwanaume aliyezaa naye wanje!ukimaliza ndo uhamie kwang
 
RIP DR.Edmund Sengondo Mvungi,Poleni sana Watanzania kwa kupoteza avery potential resource.Ni pigo kwa wananchi na ushindi kwa wauaji,mawakala wa wachukia mabadiliko na mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…