Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
frankly speaking hatuna waziri wa mambo ya ndani huyu mh ametumikia ccm kwa muda mrefu amesoma akiwa ccm ameoa akiwa ccm kazi ameanzia ccm umoja wa vijana tutegemee nini kipya kutoka kwake lazima atumikie shetani wake ona walivyokuwa wanatoa taarifa za watuhumiwa ,taarifa ilitoka kwa kuchelewa sana as if walikuwa wanasubiria kitu na toka lini waziri akawa msemaji wa matukio badala ya kova kulikoni
Kwa kweli inasikitisha sana hawa watu kukatisha maisha ya dr sengondo mvungi,hatua kali kali zidi ya wahusika ichukue mkondo wake.mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina