TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

hivi tanzania ya kova haina movie ya hiki kifo au mwigulu nae kafa?? Unajua nashindwa kuwaelewa hawa watu, hawana jokes kama kawaida yao?? Huu siyo ugaidi kweli?? Mwigulu ushahidi wa mbinguni p'seee
utaingia motoni peke yako mkuu mwigulu alishatubu dhambi zake na aliomba msamaha kwa yote tena humuhumu ww bado unamhukumu tu
 
Akili ndogo inatoa uhai wa akili kubwa na hazina ya taifa!! rip mzee wetu nccr itakuenzi daima maana umeijenga toka zamani na ilipoteteleka hukuihama

mwanga wa milele ukuangazie
 
Poleni sana wanafamilia, NCCR-MAGEUZI, tume ya katiba, university of Bwagamojo, taifa na watanzania wote kwa ujumla!
hakika taifa limepoteza mtu muhimu sana kwa muhtasari wa siasa na maendeleo yetu.
Namkumbuka sana Dr. Mvungi kwa haiba yake ya upole, busara na hekima na kwa mara ya kwanza kumwona ilikuwa september 17, 2005 wakati wa kampeni za uchaguzi alipokuja katka kijiji chetu kuomba kura na kutoa elimu ya uraia pale Liuli kwa fundi baiskeli bwana teke karibu na guest ya chimbondi
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi ila hao wenye kazi ya kukatisha uhai wa wenzao wajue kufa kupo na watakufa kwa upanga kama walivyofanya
 
It's too sad,kumpoteza Mmoja wa wanasiasa msomi mpigaia Haki!
 
rest in peace dr jana tumepewa taarifa majambazi yamekamatwa ingawa picha ya waliokamatwa hakuna zaidi ya picha za emmanul nchimbi na kova leo umekufa sooo sad newz kwa wanajamii , kuamini, hii ni kazi ya shetani tuwalilie wale wote waliofanya unyama huu na tuwalaani kwa nguvu zote kwa kutekeleza mipango hii ya kidhalimu dhidi ya mtu mwenye ndoto zake na nchi yake.

changa la macho waliokamatwa ni wanywa gongo tu..
 
Inauma sana. Mwalimu wangu umeondoka mapema sana. Taifa lilikuwa bado linakuhitaji. Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe. RIP Dr. Mvungi.
 
Hizi habari za msiba ni za kuhuzunisha mno!

Alafu badala ya Kova kusema laptop ipo wapi yeye anatwambia gongo! Badala ya kutuonesha wahusika walokamatwa wanauza sura zao wenyewe!

Anayeua kwa upanga naye atauliwa kwa upanga
 
Poleni sana ndgu na jamaa mliokuwa mnamwangalia na kumtegemea..
 
Back
Top Bottom