Vibaka 9 waliohusika wamekamatwa na vijana wa kamanda Kova. Wamekutwa na mapanga pamoja na baadhi ya vitu walivyopora ikiwemo Simu ya marehemu Dr. Mvungi.
Pumzika kwa amani, mwana hodari na mzalendo wa kweli wa Tanganyika!Pumzika kwa amani shujaa.
Mkuu, samahani, hapo ccm imeingiaje?