TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

R.i.p dr.
Damu yako i juu yao na vizazi vyao.
Tanzania, afrika na dunia nzima itakukumbuka kwa mengi sana.
 
dinrma ya kova na kofia ya cdm sasa ndio itapamba moto. R.i.p My Professor
 
Kabla hujapost uwe kwanza una angalia thread zilizoko hewani siyo unatoka tu usingiini na kuanza kurusha vitu hewani.
 
Hii sentensi ni ya masiba ama ulevi wa chama. Dr, M alikuwa mtumishi wa Umma na mwanachama wa NCCR M. Acheni kupotosha kuhusu laptop. Ofisi ndipo mahali SALAMA kuhifadhi kila jambo muhimu lililopangwa na hii TUME YA KATIBA. Tume haikuwa na mtu mmoja tu Dr, pekee, kila lililo nyeti lipo Ofisi ya tume. Kama mtu nduguye ndo amehusika na ushenzi huu ndo tayari wamekamatwa na hii eti CCM, CDM majina haya Kova hajatamka bali vimeonyeshwa vifaa tu. Tusubiri uchunguzi ukamilike ndipo tuambiwe kama waliokamatwa ni wahuni wa ktk vyama ama wa mitaani tu ama wa kununuliw!!! Kuhusu uhalifu kupanuka Serikali itambue kuwa sasa ifanye uchunguzi wa kina ijiridhishe ni kwa jinsi gani wahalifu wanapata ajira ndani ya Serikali na maeneo mengine nyeti. Pili lililo kuu Askari wanaposhiriki Opareshe ya aina ye yote ili zaidi uvunjaji wa SHERIA za NCHI HURU TZ, baada ya kupambana na wahuni wahalifu, na pindi wanapo umia ama kufa eti wanasiasa wanaunda TUME kuwatetea wahalifu sababu ni ndugu zao. Askari mwema mtoto wa mkulima anaburuzwa mahakamani eti muuwaji.
Raia tunapiga kelele pindi tukio kama hili la Dr M linapotokea zidi ya Serikali lakini hatupigi kelele pale wanapo undiwa TUME.ASKARI. TUKUBALI KUWA tuna TANZANIA POLICE FORCE na siyo TANZANIA POLICE SERVICE. WANASIASA NI AIBU KUBWA JESHI LETU LENYE UWEZO TULIOUONA KTK NCHI TANO KUSINI NA SASA KASKAZINI NA JUZI TU TUMEONA DRC. WAACHWE VIJANA WAREJESHE NIDHAMU KWA GHARAMA YEYOTE ILE. MAMBO KAMA HAYA HAYATATOKEA TENA
KUNA NCHI MOJA EAC MADUKA UTAYAKUTA WAZI HADI USIKU WA MANANE. Wanasiasa acheni mapezi kudanganya watu mm naamini mnacho penda kwangu ni kura tu. Siasa imejipa nguvu zaidi ya Sheria za Nchi. Mh Waziri Mkuu ukiona unatukanwa kusukwasukwa ni kuwa kazi unaiweza lakini ukiona mswahili anakusifu tu kila jambo mjuwe kuwa huyo Jangili. Tuna Jeshi la kutosha lipewa majukumu linaweza kukomesha maovu ya aina ye yote. Kichwa kilicho potea kukipata kingine ni baada ya miaka 40. SERIKALI ITAFAKARI SASA
 
Duh! Nchi hii hakuna usalama wa raia kwa kweli... so sad!
Poleni wafiwa, NCCR na watz wote!
 
Kpifo hichi ni ngumu kikitenganisha na serikali! Dk Mvungi, profesa Mwaikusa, vifo vyao ni vya kuuliwa na majambazi... Tutakukumbuka Dk Mvungi..
 
Kpifo hichi ni ngumu kikitenganisha na serikali! Dk Mvungi, profesa Mwaikusa, vifo vyao ni vya kuuliwa na majambazi... Tutakukumbuka Dk Mvungi..

Daaaah huyu baba ktk msiba wa Prof Jwan Mwaikusa ndo alikuwa mc pale nyumban na kwa kweli alijitoa mstari wa mbele sana!!!!RIP Dr Mvungi......
 
Hizi habari za msiba ni za kuhuzunisha mno!

Alafu badala ya Kova kusema laptop ipo wapi yeye anatwambia gongo! Badala ya kutuonesha wahusika walokamatwa wanauza sura zao wenyewe!

Anayeua kwa upanga naye atauliwa kwa upanga

Umeongea la maana kweli hivi kwanini wanawaficha hao watuhumiwa kwa sura na majina.....na washafunguliwa mashitaka?
 
Hii sentensi ni ya masiba ama ulevi wa chama. Dr, M alikuwa mtumishi wa Umma na mwanachama wa NCCR M. Acheni kupotosha kuhusu laptop. Ofisi ndipo mahali SALAMA kuhifadhi kila jambo muhimu lililopangwa na hii TUME YA KATIBA. Tume haikuwa na mtu mmoja tu Dr, pekee, kila lililo nyeti lipo Ofisi ya tume. Kama mtu nduguye ndo amehusika na ushenzi huu ndo tayari wamekamatwa na hii eti CCM, CDM majina haya Kova hajatamka bali vimeonyeshwa vifaa tu. Tusubiri uchunguzi ukamilike ndipo tuambiwe kama waliokamatwa ni wahuni wa ktk vyama ama wa mitaani tu ama wa kununuliw!!! Kuhusu uhalifu kupanuka Serikali itambue kuwa sasa ifanye uchunguzi wa kina ijiridhishe ni kwa jinsi gani wahalifu wanapata ajira ndani ya Serikali na maeneo mengine nyeti. Pili lililo kuu Askari wanaposhiriki Opareshe ya aina ye yote ili zaidi uvunjaji wa SHERIA za NCHI HURU TZ, baada ya kupambana na wahuni wahalifu, na pindi wanapo umia ama kufa eti wanasiasa wanaunda TUME kuwatetea wahalifu sababu ni ndugu zao. Askari mwema mtoto wa mkulima anaburuzwa mahakamani eti muuwaji.
Raia tunapiga kelele pindi tukio kama hili la Dr M linapotokea zidi ya Serikali lakini hatupigi kelele pale wanapo undiwa TUME.ASKARI. TUKUBALI KUWA tuna TANZANIA POLICE FORCE na siyo TANZANIA POLICE SERVICE. WANASIASA NI AIBU KUBWA JESHI LETU LENYE UWEZO TULIOUONA KTK NCHI TANO KUSINI NA SASA KASKAZINI NA JUZI TU TUMEONA DRC. WAACHWE VIJANA WAREJESHE NIDHAMU KWA GHARAMA YEYOTE ILE. MAMBO KAMA HAYA HAYATATOKEA TENA
KUNA NCHI MOJA EAC MADUKA UTAYAKUTA WAZI HADI USIKU WA MANANE. Wanasiasa acheni mapezi kudanganya watu mm naamini mnacho penda kwangu ni kura tu. Siasa imejipa nguvu zaidi ya Sheria za Nchi. Mh Waziri Mkuu ukiona unatukanwa kusukwasukwa ni kuwa kazi unaiweza lakini ukiona mswahili anakusifu tu kila jambo mjuwe kuwa huyo Jangili. Tuna Jeshi la kutosha lipewa majukumu linaweza kukomesha maovu ya aina ye yote. Kichwa kilicho potea kukipata kingine ni baada ya miaka 40. SERIKALI ITAFAKARI SASA

Na mimi naongezea kidogo hapo:

Taarifa yoyote itakayoletwa na jeshi letu la polisi itakuwa na shaka sana maana tayari wameshaonyesha biasness kwenye tukio hili!
Kitendo cha kuleta kofia ya chama fulani tayari inapoteza imani ya fairness ya uchunguzi!
Nani ana uhakika kuwa ile kofia ilikuwa na vifaa vingine?...mbaya zaidi ni kofia mpya!

Hivi kuna sheria inayozuia uchunguzi huru wa matukio kama haya?...familia ikitaka watu wake wawemo kwenye uchunguzi itazuiwa?
 
Kuna habari za kutaka kupoteza ukweli juu ya kifo cha Dr Mvungi kwa kuhusisha na uporaji wa kawaida uliofanywa na vibaka.

Akili yangu inakataa kabisa ,huu ni mwendelezo wa tamthilia/hekeya ya jeshi la polisi kama ilivyo kuwa kwa Dr Ulimboka na Kibanda.Ni ngumu maelezo ya kamanda Kova kumuingia mtu akilini.

Katika mchakato wa katiba mpya kuna mengi tutayaona maana kama ni kupoteza maisha wapo wengi na Dr Mvungi yeye amekuwa wa kwanza tu,kuna wengi tutafuata hasa ikizingatiwa kuwa hapa kinachopiganiwa ni kukatisha ufalme wa baadhi ya watu waliozoea kuishi maisha ya pepo duniani kwa jasho la wenzao.

Ni kupingana na mfumo uliojengwa ktk misingi U-TWANA na U-MWINYI hivyo watu wote wenye nia njema ya kukomesha hizi ghiliba haina shaka kwamba ni lazima watambue kuwa njia aliyoipitia dr Mvungi bado inawangojea muhimu ni kuerejea mara kwa mara kauli ya Yesu kristo wakati akiwa msalabani"Mungu kutuepusha na Kikombe hicho".

Bahati mbaya ni kuwa mtu akifa huwa harudi hivyo hata sisi tunaoamini kuwa muda si mrefu ukweli utajulikana ila bado kwa Dr mwenyewe ,familia ,jamaa na wanamageuzi inabaki kutoleta jibu mbadala kwamba hatutakuona tena ktk mchakato huu wa Tanzania tuitakayo.

Pumzika kwa amani dr Mvungi u-playpart yako hakika historia itakukumbuka.
 
R.I.P Daktari Sengondo! Umelitukia vema Taifa, hujaiona Tanganyika uloifikiria! Taifa litakukumbuka. NCCR Mageuzi itakukumbuka. University of Bagamoyo itakukumbuka. UDSM itakukumbuka. Ilboru itakukumbuka. Wapenda maendeleo na wapinga DHURMA tutakukumbuka. Tangulia Sengondo! Msalimie Mwalimu!
 
Duh! Hujafa hujaumbika. Binadamu tumekuwa wakatili na wakuogopwa zaidi ya simba na fisi. Damu iliyomwagika na roho iliyotoka itawamaliza wengi. Pumzika kwa amani Dr. Mvungi

Hakika!!! Damu iliyomwagika itawamaliza wengi, hatasalia hata mmoja kati ya walio husika!!! Pumzika kwa amani Dokta Sengodo Mvungi, umeondoka wakati kila mtu akikuhitaji sana!! Dhambi zako zote kama binadamu ziwe juu ya waliomwaga damu yako, Amen!!
 
Back
Top Bottom