Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

The Following User Says Thank You to Invisible For This Useful Post:

awesome, the guy is availlable. Mkuu FMES binafsi nimekumiss sana, nimeimiss sana michango yako hasa katika wakati kama huu wa kuelekea uchaguzi. Usipotee sana mkuu, I admire you...
 
Mkuu nadhani wamemaliza (ingawa wanadai wanaendelea kuhesabu) lakini wametoa taarifa kuwa watatangaza rasmi matokeo hayo saa 3 (mida ya Tanzania - almost 40min left)

hii ni saa tatu jamani mtuhabarisheni maana tuna kiu mno
 
Go Bilal goooooo!!! ni wewe tu unayeweza kufanya maamuzi kwa kujiamini...Shein muoga muoga sana.Hivi yule Octopus wa Ujerumani hajatabiri hii kitu???aaaghhhh
 
Mkuu, ndo ujue jukwaa hili lina umuhimu kuelekea Uchaguzi ili liwe na habari za ki-uchaguzi zaidi... Stay tuned, dakika si nyingi moshi mweupe utaonekana Dodoma
Inapendeza unajua mkiwa wengi kwenye forum fulani lazima kunakuwa na ideas mbalimbali hivyo opportunity ya kujifunza usiyoyajua inazidi kuwa kubwa, mkuu nipo macho leo hatumwi mtu dukani hadi kieleweke.
 
Go Bilal goooooo!!! ni wewe tu unayeweza kufanya maamuzi kwa kujiamini...Shein muoga muoga sana.Hivi yule Octopus wa Ujerumani hajatabiri hii kitu???aaaghhhh

Zamu yetu wapemba mwaka huu. Karibu tunamtoa mwali mkoleni

Last edited by a moderator:
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dr. Sheni kachukua nchi ya zenj.

ulevi wa ukubwanai kitu kibaya sana....mizaha katika mamabo muhimu ndo inapelekea nchi kuwa na viongozi wenye mizaha halafu mnaanza kusema alikuwa anatania tu..!!
 
Mkuu Field Marshall ES ikishaisha mchakato tujuze yaliyojiri nyuma ya pazia maana najua unakusanya tu data
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dr. Sheni kachukua nchi ya zenj.

SIo kachukua nchi ni pekee tu ambae atakwenda katika yale mambu ya kuijenga Zanzibar mpya ,kwa maana vifaru na vibudu havitakuwepo na hivyo kuweka mazingira swafi ya uchaguzi ,kuliko hao wengi ambao wana uraru wa kutaka Uraisi .
 
Ikitokea Dr. Shein ndiye mgombea Zanzibar, basi kwa mara ya kwanza tunaweza shuhudia Rais (Mpemba) waziri kiongozi (Mpemba) only if watafuata makubaliano ya Muafaka. hili litakuwa bao la kisigino kwa wapemba
 
mi mpaka nimemaliza popcorn zangu kusubiri matokeo
 
Mkuu Field Marshall ES...

I missed you quite a lot.
 
Ikitokea Dr. Shein ndiye mgombea Zanzibar, basi kwa mara ya kwanza tunaweza shuhudia Rais (Mpemba) waziri kiongozi (Mpemba) only if watafuata makubaliano ya Muafaka. hili litakuwa bao la kisigino kwa wapemba

Nadhani endapo Shein atashinda uraisi wa Zanzibar basi Seif ataukosa Uwaziri Kiongozi, nategemea atamchagua M-CUF wa Unguja ili kujenga umoja wa Zanzibar.
 
Nadhani endapo Shein atashinda uraisi wa Zanzibar basi Seif ataukosa Uwaziri Kiongozi, nategemea atamchagua M-CUF wa Unguja ili kujenga umoja wa Zanzibar.

kimsingi hakuna kosa kwa wapemba kuwa Rais na Waziri kiongozi na sidhani kama italeta dosari.
 
Ikitokea Dr. Shein ndiye mgombea Zanzibar, basi kwa mara ya kwanza tunaweza shuhudia Rais (Mpemba) waziri kiongozi (Mpemba) only if watafuata makubaliano ya Muafaka. hili litakuwa bao la kisigino kwa wapemba

yaleyale, kwani CUF kina wapemba tu?, na si lazima Seif awe waziri kiongozi, hata hivyo post hii haitakuwa mpya kwa maalim kwani alishawahi kuwa CM, kama uchaguzi utakuwa haki na huru, Maalim lazima achukue nchi hizi mbwembwe za dodoma ni kwa sababu tumeshajizoesha kuwa "Ushindi lazima". Mi bado ninawaza kwa nini Sheikh wa mwembechai alisema mwaka huu hakuna uchaguzi?, au tutaanza kuona sababu leo?
 
Bila shaka kwa matokeo ya shein, kama atapitishwa hakuna sababu Maalim asiwe rais wa Zanzibar...kwa maana najuwa Maskani ya mwanzo itakayoguzwa majungu ya kumharibia Sheni na kuiunga mkono CUF ni Mwembe Kisonge...makachero yale yatauwa mtu mara hii mgombea wao akikosa, kazi kubwa anayo sheni, wakati CUF itakuwa little bit pleased CCM msuguano hautakwisha mpaka sheni amalizwe.
 
kimsingi hakuna kosa kwa wapemba kuwa Rais na Waziri kiongozi na sidhani kama italeta dosari.

Halitakuwa kosa lakini nadhani it will be too much kwa status guo wa Unguja, hawajazoea bado.
 
Tunasikitika kuwafahamisha kwamba kutokana na matatizo ya poor time management tuliyoyazoea, matokeo yatachelewa zaidi kutoka mpaka mwenyekiti amalize kula dinner saa 5.00 usiku!....
 
Back
Top Bottom