Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,517
- 4,477
awesome, the guy is availlable. Mkuu FMES binafsi nimekumiss sana, nimeimiss sana michango yako hasa katika wakati kama huu wa kuelekea uchaguzi. Usipotee sana mkuu, I admire you...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nadhani wamemaliza (ingawa wanadai wanaendelea kuhesabu) lakini wametoa taarifa kuwa watatangaza rasmi matokeo hayo saa 3 (mida ya Tanzania - almost 40min left)
Inapendeza unajua mkiwa wengi kwenye forum fulani lazima kunakuwa na ideas mbalimbali hivyo opportunity ya kujifunza usiyoyajua inazidi kuwa kubwa, mkuu nipo macho leo hatumwi mtu dukani hadi kieleweke.Mkuu, ndo ujue jukwaa hili lina umuhimu kuelekea Uchaguzi ili liwe na habari za ki-uchaguzi zaidi... Stay tuned, dakika si nyingi moshi mweupe utaonekana Dodoma
Go Bilal goooooo!!! ni wewe tu unayeweza kufanya maamuzi kwa kujiamini...Shein muoga muoga sana.Hivi yule Octopus wa Ujerumani hajatabiri hii kitu???aaaghhhh
Zamu yetu wapemba mwaka huu. Karibu tunamtoa mwali mkoleni
YouTube - mduara upo uwanjani off side trick ft at
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dr. Sheni kachukua nchi ya zenj.
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dr. Sheni kachukua nchi ya zenj.
Ikitokea Dr. Shein ndiye mgombea Zanzibar, basi kwa mara ya kwanza tunaweza shuhudia Rais (Mpemba) waziri kiongozi (Mpemba) only if watafuata makubaliano ya Muafaka. hili litakuwa bao la kisigino kwa wapemba
Nadhani endapo Shein atashinda uraisi wa Zanzibar basi Seif ataukosa Uwaziri Kiongozi, nategemea atamchagua M-CUF wa Unguja ili kujenga umoja wa Zanzibar.
Ikitokea Dr. Shein ndiye mgombea Zanzibar, basi kwa mara ya kwanza tunaweza shuhudia Rais (Mpemba) waziri kiongozi (Mpemba) only if watafuata makubaliano ya Muafaka. hili litakuwa bao la kisigino kwa wapemba
kimsingi hakuna kosa kwa wapemba kuwa Rais na Waziri kiongozi na sidhani kama italeta dosari.