Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Kama Kawaida na mazoea, Wabara wamewachagulia wazanzibar mgombea, so Sad to them but that is politics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini rais wa Zanzibar anachaguliwa toka Dodoma na sio Baraza la Mapinduzi?
BREAKING NEWS!! NI DR SHEIN
NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33
Kwa hisani ya mjengwa
Kuna jamaa wa Bilal wameamua kuondoka usiku huu wanadai wanaondoka kwenda kuanza smear campaign against Shein anyway nadhani haya ni maneno ya mkosaji. In short sasa nadhani ni wakati muafaka tukaona uadilifu wa huyu mzee kama kweli muadilifu au ni just another puppet of CCM. Nampongeza sana yeye na familia yake.
NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33
...kaka Mwiba si vema kuwafananisha na Watu na Malaika Kiutendaji ...hata kwa lolote...Waache Malaika wamtumikie ALLAH pekee.Haya ,nashangaa wakati niliwapa matokeo tokea juzi kuwa piga ua Shein ni Chaguo la CCM wapenda amani ,na leo pia niliwapa za kuibuka kidedea kwa Shein,nawaambia tena kuwa Shein hana haja ya Uraisi wa Zanzibar ,ila ameonekana ni mtu wa kupenda amani mpole na hana choyo.
Kwa ufupi ameridhika, ila kuiweka amani Zanzibar huyu ndie ambae anafaa kuwepo, kwa maana kubwa kabisa ,inajulikana na wengine mnazo data kuwa kwa Zanzibar CCM haishindi hata wakiweka malaika
Jamani mtambue kuwa wanachotaka waZanzibar ni kubadili uongozi kichama na sio mtu , wanahitaji uongozi wa Chama kingine kuendesha serikali.