Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa?
comment ya balimar isihusishwe na chedema tafadhali
 
Huko nje hakuna wazanzibar bali kuna watanzania!
Sio kweli. Nimesoma nao huwa hawajitambulishi kama watanzania bali wazanzibar. Hasa wa kutoka pemba. Wanashirikiana wao kwa wao zaidi. Kinachowaunganisha ni paspoti tu ya tanzani ila damu yao imeandikwa zanzibar na hawajisahau kabisa.
 
.Dubwana lingine la kuwarubuni wazanzibar ili waipeleke ccm ikulu
tuanze nabkutatua kero na changamoto za miundombinu ya barabara, hospital, maji safi, umeme, makazi,uchumi na biashara

ivi sheni anafumbia macho mambo muhimu kama shughuli za uchumi na biashara, uchimbaji wa mafuta anataka kuwarubuni wazanzibar kwa mambo yakufikirika kwa uchumi wa sasa
 
Sio kweli. Nimesoma nao huwa hawajitambulishi kama watanzania bali wazanzibar. Hasa wa kutoka pemba. Wanashirikiana wao kwa wao zaidi. Kinachowaunganisha ni paspoti tu ya tanzani ila damu yao imeandikwa zanzibar na hawajisahau kabisa.
Wewe utakuwa umesoma nao pale CBE au Ushirika moshi!
 
Hii habari ya Daraja la Dsm-Znz naisoma hapa nikiwa na Jirani yangu anaitwa Said Salim Bakhresa tunasema ‘..manijitahada wajada ‘
 
Wewe utakuwa umesoma nao pale CBE au Ushirika moshi!
Wala sijawahi kusoma shule za quin. Nilisoma nao uingereza kwa queen. Wengine wakabakia huko huko. Sis tunangangania ni wa TZ wao wanajitambulusha wazanzibar. Tena wana mtandao na mikutano yao tofauti na WATANGANYIKA.
 
Ndio hivyo balozi wao ni Migiro na mawaziri wao ni Palamagamba na Ndumbaro.......hakuna namna!
 
Back
Top Bottom