Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Wewe ulizaliwa siku gani? Mbona unakuwa mvivu kufikiri?
Umesha anza ishu zako za udini.
kaa si unamjua malaria sugu!
kada wa kijani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulizaliwa siku gani? Mbona unakuwa mvivu kufikiri?
Umesha anza ishu zako za udini.
Hii kwangu siyo habari ya kujivunia maana nafahamu kabisa umuhimu wa Slaa kuwa Bungeni umepotea. Nadhani lengo lake ni kupumzika ubunge kwa muda.
Ukombozi wetu ungeanzia Bungeni kwa CUF na CHADEMA kuingiza wabunge wengi. Ina maana nguvu yao kubwa ingeelekezwa kwenye Ubunge. Sasa tena turufu yetu inajitoa!
kaa si unamjua malaria sugu!
kada wa kijani
Tendwa tumeshamzoea na hizi porojo!! hili litaisha hivi hivi!Nimeongea na Tendwa na anadai mwaka 2005 alichukua hatua ambazo baadae ziliungwa mkono na NEC, anasema hawahawa NEC wanaweza kulishughulikia suala la CCM kuanza kuweka mabango barabarani. Anakiri ni kosa kubwa, anasema hata vyama vya siasa vimelalamikia TOT kuanza kusambaza nyimbo zake zinazosema TUWASHIKE TUWACHANECHANE TUWATUPE.
Anakiri ni kweli kuwa haikubaliki kabisa kimsingi na anasema kuwa hoja ina-valid, na analichukulia hatua kwa kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi. Anasema kauli za kuchanachana si za kiungwana na wapinzani wamelipigia kelele sana. Anasema CCM wao wanadai ndiyo siasa lakini yeye anadai ni kuwa si uungwana hata chembe.
Amesisitiza kuwa Slaa ni mteule wa CHADEMA lakini si mgombea rasmi, same for JK
Nimebahatika kumwuliza hivyo, akasema tumtumie maswali au tutume mwandishi wetu Ijumaa wiki hii ili ajibu maswali yote na ikibidi kama tuna mapendekezo atatoa ufafanuzi kwa mapana.Invisible,
Ungemuuliza haya yanayofanywa na CCM ikiwemo kutambulishana hadharani kule Jangwani, Pemba na kwingineko yangefanywa na CHADEMA, CUF, TLP angeendelea kunong'ona na kulalama akiwa ofisini? Nilidhani anayo MAMLAKA ya KIKATIBA kuyasimamia haya kumbe ni hadi awasiliane na NEC!?