Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Ina maana nimepoteza pesa kiasi hicho? Makao makuu tunaomba ufafanuzi
 
Nyerere seconded the idea of Plato of letting philosophers to be heads of their state because they have two qualities: 1. they have a capacity to lead 2. they do not like to lead. Plato's state would drive philosophers to lead in short periods of time, and they would like that since they would go back to their philosophy business after their terms or phases (Nyerere, 1990s, p. 8).
Nyerere (1990s, p. 8) said that our country is led by politicians who are not philosophers (non PhD holders) who love to lead though they do not have that capacity, and once they are in power they do not like to leave that power!
Tanzanians, there is a saying that OPPORTUNITY NEVER COMES TWICE!
VOTE FOR THE REAL WEAPON THAT BRINGS LIBERATION TO ALL ASPECTS OF OUR LIFE IN TANZANIA
Reference: Nyerere, J.K. (1990s). Uongozi Wetu na hatima ya Tanzania. Harare: Zimbabwe Publishing House.
Swadakta:violin:
 
MSAADA WA KISHERIA NA KIMAWAZO
Natafuta namna ya kumpigia Kampeni J. Kikwete kwa kutengeneza T-shirt kama 100,000 zenye maneno "SIHITAJI KURA ZA WAFANYAKAZI" alafu naweka PIcha yake na Jina lake. Nawezaje kukamilisha huu mradi wangu ndani ya miezi ya kampeni? Je nitakuwa navunja sheria? au kama nitafanya kama ni bidhaa za biashara ya kawaida hazina uhusiano na kampeni na chama chochote zitauzika na kukubalika kuwa mitaani?

Hilo nalo neno
 
kURA YANGU KWA Dr Slaa, hahaaaah nimepata sababu nyingine ya kunifanya nikapige kura.
 
drslaabc.jpg


Ndugu pamoja na salamu zenu kwa Dr Wilbroad Slaa,

Mpeni nguvu ya kuanza kampeni sasa, kwa kutuma SMS zisizopungua 100

yenye neno CHADEMA kwenda 15710.

Kwa wateja wa zain na voda

Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Mimi nilishajiunga mda mrefu lakini nadhani sikatwi. Tunaomba taarifa rasmi kutoka CHADEMA. Tunataka tumchangie nabii wetu!
 
Anza wewe kumponda then tuangalie where you have stand.
 
Thx GOD. Dr Slaa tunakusubiri sana, tunajua mabadiliko yoyote yanahitaji ujasiri mkubwa. najua wewe ni jasiri na haukurupuki.
Plz Dr. Slaa zingatia kuwa, kama ulikuwa na ndoto ya kuikomboa Tanzania na masikini wake kwa ujumla, hii ndiyo nafasi pekee na ujue kuwa vita ndo vimeanza na wewe ukiwa kama kamanda wa mapigano. watakuzulia mengi kuliko hata wakati wa ubunge but jitahidi yasikukatishe tamaa.
Remeber huu uhai uliyonayo sasa hivi, ni lazima ujue na wajibu wa kuwa hai. Ni pamoja na kuikomboa Tanzania na watu wake ili angalau waionje asali ya nchi yao iliyotajiri kwa kila kitu ambayo wanao ifaidi ni wachache sana.
Tupo pamoja Dr. Slaa yote yanawezekana.
 
kila ukiangalia michango mingi ndani ya Jf wanampongeza dk slaa na wengine hufika mbali zaidi na kumsifu kupindukia na wengine huona tayari ashakuwa rais mtarajia.
wanaopinga mawazo yao huitwa wasaliti wa taifa hili huru.
wengi hawamuelezi kwamba bado sio maaraufu, jamii hasa watu wa kijijini wasijuoa maana ya rushwa hawatambui mchango wa dk slaa, wengi wanaogopa vyama vya upinzani, wengi wanamuona dk slaa kama raia mwengine anaetafuta umaarufu kupitia urais, kwa hivyo kuingia katika kinyanganyiro hicho sawa na sisimizi ndani ya kundi la kuku
dk slaa ni miongoni mwa wanasiasa ndani ya JF, Kama ataangalia michango ya humu basi atajiona yeye ni rais, yeye ndie tegemeo la watz, ataona kwamba jamii nzima ya tanzania ipo nyuma yake, atajisahau na kujiona tayari ni mpinzani wa kweli wa Jk,atasahau na kuona jf wananikubali, jf inawakilisha watz, kwa hivyo hayo ndio mawazo ya watz
akiona akina ms na wengine wakipondwa kwa kumsoa dk slaa atazidi kuona kumbe ta yote ni yangu na atashindwa kujua kwamba wanajf pengine ni ailimia 0.01 ya watz wapiga kura.
lkn wanjf wakimkusoa, wakimshauri, wakimsihi kwamba akze kamab na jamii bado haijui anaweza kuleta changamoto sana na kuona upungufu wake.

Inabidi tuelewe kuwa Dr Slaa ameombwa na watanzania, si kama wengine wanaowaomba watanzania. Baba wa Taifa aliwahi kuuliza, Ikulu kuna biashara gani mpaka watu wanakimbilia? akina Kikwete na akina Lowasa na akina Lipumba ndio wanatakiwa kuulizwa huko Ikulu kuna nini? MS sijui unaposema huko vijijini una maana gani. Hakuna ambapo Dr Slaa hafahamiki, vijiji unavyo zungumzia leo sio vile vya zamani, na wala watanzania wa leo sio kama wale wa zamani, hii ni enzi mpya. Kama huamini rejea chaguzi ndogo zilizofanyika Busanda, Tarime na Biharamulo, ili ujue CCM safari hii wakae chonjo, saa ya ukombozi imeshafika na anguko kubwa sana linawangoja. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
duh! Mpo wengi hapa JF wa sampuli ya kukomalia kitu!. Unauliza swali la wazi hivi? Mimi nadhani Slaa kaingia choo cha kike. Mshaurini arudi kiumeni. Bungeni

Hata Nyerere alipoacha ualimu pugu kwenda TANU wapo waliomwambia kaingia choo cha kike.....the rest is history of course
 
Hata Nyerere alipoacha ualimu pugu kwenda TANU wapo waliomwambia kaingia choo cha kike.....the rest is history of course

Unajua watu wengine wamezoea kuburuzwa na wanafikiri kila kitu ni rahisi. Bila kurisk hakuna faida kubwa. [BIG RISK = BIG PROFIT] Go Slaa! Go Slaa! Go mkombozi! Unakura yangu. Iliwezekana sehemu zingine kwanini isiwezekane Tanzania?

Wakati umefika kwa wale wapiganaji wandani ya CCM kuonyesha upiganaji wao kwa vitendo kwa kumpigia Slaa kura ili chama chao kibadilike!

Mungu Ibariki Tanzania!

Ameni
 
:A S-danger: DR SLAA,


Anafaa kuwa mgombea wa urais Tanzania.
wengine tumepata mahali pa kupeleka kura zetu hata kama tukishindwa ndo ushindani huo.
Mungu yupo pamoja nasi INSHALLAH TUTAFANIKIWA.
 
Ni vema akangoja 2015 kwani jinsi hali ilivyo uwezekano wa kushinda ubunge ni mkubwa kuliko urais. Isije ikawa mbinu ya mamluki kutaka kupunguza nguvu ya upinzani bungeni
 
nafikiri sasa tunamgombea uraisi anaeuzika upande wa upinzani anaitaji kuungwa mkono ili alete upinzani wa kweli
 
My cent mheshimiwa, nakubaliana nawe, though its a bitter pill to swallow.
Tena kwa 2015, hata CCM wenyewe watakuwa na maruweruwe na mgombea wao manake naye atakuwa mpya machoni kwa wapiga kura!

yeah..lakini ndo malaria inapona......Dina u are right pia kwa 2015 kutakuwa na uncertainties nyingi kulinganisha na sasa....na hapo labda..naseam labda ndipo mtu kama Dr. Slaa and the like wangekuwa na nafasi nzuri. Lakini pia kwa upinzani kama ilivo CCM hakuna wapya tangu upinzani umeanza ni wale wale tu! frustrations!
 
kila ukiangalia michango mingi ndani ya Jf wanampongeza dk slaa na wengine hufika mbali zaidi na kumsifu kupindukia na wengine huona tayari ashakuwa rais mtarajia.
wanaopinga mawazo yao huitwa wasaliti wa taifa hili huru.
wengi hawamuelezi kwamba bado sio maaraufu, jamii hasa watu wa kijijini wasijuoa maana ya rushwa hawatambui mchango wa dk slaa, wengi wanaogopa vyama vya upinzani, wengi wanamuona dk slaa kama raia mwengine anaetafuta umaarufu kupitia urais, kwa hivyo kuingia katika kinyanganyiro hicho sawa na sisimizi ndani ya kundi la kuku
dk slaa ni miongoni mwa wanasiasa ndani ya JF, Kama ataangalia michango ya humu basi atajiona yeye ni rais, yeye ndie tegemeo la watz, ataona kwamba jamii nzima ya tanzania ipo nyuma yake, atajisahau na kujiona tayari ni mpinzani wa kweli wa Jk,atasahau na kuona jf wananikubali, jf inawakilisha watz, kwa hivyo hayo ndio mawazo ya watz
akiona akina ms na wengine wakipondwa kwa kumsoa dk slaa atazidi kuona kumbe ta yote ni yangu na atashindwa kujua kwamba wanajf pengine ni ailimia 0.01 ya watz wapiga kura.
lkn wanjf wakimkusoa, wakimshauri, wakimsihi kwamba akze kamab na jamii bado haijui anaweza kuleta changamoto sana na kuona upungufu wake.
Ugumu uliopo unaeleweka Lakini huko hakumfanyi yeye akate tamaa bali inamueweka ktk kujizatiti kimapambano kwani kwa kukubali kwake tu kutwaa huo mzigo ni dalili ya uelewa wake wa nafasi anayoiendea.Kama aliweza kupenya ndani ya system na kupata government documents na kuzitumia bungeni natumai anaelewa mbinu mbadala za kumpitisha ktk hili pia,Otherwise kibarua kipevu.
 
Well hii sio habari njema kwa Chadema kihivyo. Jimbo la Karatu linarudi CCM believe me. Na kwa taarifa tu ni kuwa kweli Dr. Slaa hawezi kupata urais kwa sasa. Kama yuko kupima anakubalika vipi ili agombee 2015 sawa.

Mnayapimaje haya?.

Hiyo 2015 kuna uhakika gani kuliko sasa?

Ushindi wake kwa Ubunge wa Jimbo la Karatu mwaka huu 2010 unahakikishwa na nini na kwa nini asiweze kushinda pia kwa Kiti cha Urais?

Wengi wamekuwa wanadhani wananchi hasa huko vijijini wamekuwa wakichagua mtu na si Chama,upepo sasa umebadilika, inaweza kuwa kote kote. Vijiji vingi vya Tanzania ya leo wanajua uwepo na nguvu za CHADEMA hali kadhalika jina la mtu kama Dr. W. Slaa..yawezekana kabisa wakajua kuwepo kwa CCM lakini wasimjue vizuri Jakaya Mrisho Kikwete au wakawa tayari wamepoteza imani nae kutokana na uongozi wake mbovu uliopo sasa.

Kumbukeni kuwa kipimo kibaya kwa CCM ni kuwa tayari wanarekodi ya kuongozi nchi kwa zaidi ya miaka 30 na wananchi wanafahamu mazuri na mabaya yao. Kwa vyama vya upinzani ni kuwa hawajulikani ubaya wala uzuri wao. Hivyo kujaribu ni muhimu sana kwao ili kuleta changamoto za kisiasa. Kama yameweza kutokea katika nchi nyingine, kwa nini isiwe kwetu kwa Dr. Slaa kuitwaa IKULU??!!.

God bless him!!!
 
Dina uko sahihi kuwa watu waeneze Elimu kwa kila mtu as much as possible, lakini nadhani hauko sahihi kusema kuwa sisi wavijijini hatuna elimu ukilinganisha na nyie wa mjini na wenye access na internet na media. Nasema hauko sahihi kwasababu katika wabunge karibu 40 wa upinzani hakuna hata mmoja anayetoka kwenye majiji makubwa (Dar, Arusha, Mbeya, Mwanza) Hata miji Ukiondoa mji wa Moshi. Kwa hiyo ukitumia statistics hizo unaweza ukaona tunahitaji nguvu kubwa zaidi mjini kuliko vijijini, unaweza ukashangaa hata vijana kama akina Manyika wanashindwa kupata Ubunge Ubungo jimbo lenye wapiga kura wengi kutoka UDSM. Msitulaumu wa vijijini, nadhani sisi tumeamka kuliko nyie wa mjini, hata chaguzi ndogo za Busanda, biharamulo, Tarime zilikuwa na changamoto kuliko zilizofanyika mijini kama wa Mbeya Vijijini (sehemu kubwa ni mji)

Ndugu yangu wee, kweli hivyo vijiji vinaweza vikawa - representative sample ya vijiji vya TZ? Unaongelea sehemu ambazo sukari, kanga na tshirt vimezoeleka kiasi kwamba sio tishio kwa mtu kuuza kura yake kwa mdalishano wa bidhaa hizo adimu!

Nakubali kuna maeneo ambayo kwa misimamo yao hata kaa la moto halipindishi, wanaloamua ndilo. Lakini bado vijiji vingi hali ya watu ni duni kiasi kwamba zile tshirt na sukari zinafanya kazi kweli kweli. Na akiingia kwenye chumba cha kupigia kura anaanzia kuulizia mlangoni kuwa kisandiku cha CCM kiko wapi! (ili aweke kura yake). Tatizo la hao wa mujini wako ambao hupuuzia suala zima la kupiga kura, watapiga kelele wee, watampamba Dr Slaa wa watu wee, kura zikihesabiwa tatu! Si ajabu hata kujiandikisha wengine hawajiandikishi. Na tatizo la wapiga kura wa mjini, wengi wako strategically, wanapigia mtu kwa manufaa fulani whether moyo wake unamkubali kiutendaji au unamkataa. Si umeshaona wapambe wa mtu wanavyokuwa na nguvu, lakini wote wana mapenzi mema na huyo mpambwaji? Basi ndio na kura za town zinavyofanya kazi.
 
Mrema: Slaa wrong choice Daily News | Mrema: Slaa wrong choice

The CCM Vice-Chairman (Mainland), Mr Pius Msekwa said in Dar es Salaam on Tuesday that the move was a positive step towards strengthening democracy in the country.

"I urge other opposition political parties who are registered to emulate Chadema by announcing their candidates for all positions in the coming elections", he said when reacting to Dr Slaa's nomination which was officially announced on Tuesday.

"For a political party to be worth the name and trusted, it has to take part in elections, otherwise it remains to be a group of people with no real purpose," he said.

Mr Msekwa said, however, that this was his personal view on Dr Slaa's candidacy.

"The party will issue its own statement," he added.

President Jakaya Kikwete will be the CCM candidate in the polls, Tanzania Labour Party's flag bearer is Mr Muttamwega Mgaywa while the Civic United Front (CUF) has picked Prof. Ibrahim Lipumba.

Efforts to get CUF leaders for comments proved futile.

Earlier, Chadema National Chairman, Mr Freeman Mbowe announced that the decision to pick Dr Slaa as the party's flag bearer was ‘well calculated'. Regarding the replacement of the Karatu Member of Parliament, Mr Mbowe urged party members not to worry that a fitting person will be picked and warned CCM that they will never get the Chadema stronghold constituency.

"We have many capable people in the party to take over from where Dr Slaa left off. Chadema MPs are well known all over the country for being good examples and we are going to ensure that we increase our representation in the forthcoming parliament," he stressed.

He boasted of winning the forthcoming presidential elections after the announcement of Dr Slaa's presidential candidacy.

"Come October and Dr Slaa will be the president of this country, the party has the will and capability. Rumours that Chadema is killing him politically are groundless because there is no one to defeat him," said the Chadema chairman, Freeman Mbowe.

Meanwhile, the Union for Multiparty Democracy (UMD) Party has hailed the political party registrar, Mr John Tendwa, for helping to bring back unity within the party following the division between the acting chairman and the party secretary.

The UMD party publicity secretary, Mr Omar Kimosa, told the reporters in Dar es Salaam yesterday that the division within the party was threatening the existence of the party, saying the division started after the departure of the party's founder, the late Chief Abdallah Fundikira.

"We officially announce that we will take part in the coming general election as the misunderstanding is over," he said.

Mr Kimosa said UMD members had already started taking nomination forms in order to vie for the different positions in the coming general election, adding that the party will pick candidates for the Union and Isles presidencies.

He explained that fees for nomination forms for the presidency will be 100,000/- and 10,000/- for the Member of Parliament while those aspiring for councillorships would pay 5000/-, saying that the meeting to elect the aspirants will be held next Thursday. Mr Kimosa said they were optimistic of having a good number of representatives in the coming parliament.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom