Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)


hebu kakojoe urudi kulala naona upo kwenye usingizi wa mang'amng'am
 
 
 

Unashangaa nini. Mtu mwenyewe huyo ana udr wa kubumba aka Dr Kanjanja hajui hata University ni nini.
 

Hapo mkuu unajidanganya....Tumaini bado sana......na st.Augustine hawana uwezo wa kunyambua mambo kivile sema wanazuoni wa udsm wanaojipendekeza ndio wanapewa attention!
 
 


UKO SAHIHI MKUU, wengi tu humu tumesoma udsm na vyuo vingine vya hapa tanzania. Kuna tatizo kubwa sana upande wa LECTURERS, wengi wanaona sifa kumfelisha mwanafunzi.

Pia mambo ya cheating yako Mengi tu.

Na Issue ya Kusoma ili kufaulu mtihani ndo JANGA kubwa. Unakuta mtu amemaliza Business administration degree, hata kuandika barua ya kazi au CV ni mgogoro, Business communication skills hakuna.
 
 
Asenga tangu ubebwe na kuwekwa ktk famili ya Baba Rizimoko na wewe unajiona ni wa Ikulu,unamua kujiita ASENGA WA "PAKAYA"...umebadili na dini upate fadhila...

Huo wivu wa kike. Dini ni private issue.
 
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika


bora uwaambie hao wanaoongea bila data alaf wajue chuo cha pili tz ambacho ni cha 98 afrika ni herbert kairuk vingine vyote kushney labda vitaingia kwenye top 10000 na wasipoangalia watafika top 100000
 
Mkuu umeona ee! Hawa jamaa wa 7thou ni bure kabisa, nimempa kijana mmoja yuko form three aisome hii thread yeye kaelewa Slaa alimaanisha nini na kashangaa hawa wanaotokwa povu wana uelewa kiasi gani?
 

Na wewe ulisoma wapi?Madesa mnazidi kujifichua
 
Kama Mwalimu aliyemfundisha ni Dr. Bensin Bana ungetegemea apate nini zaidi ya Frist Class degree ya hovyo hovyo kama kichwa chake?
 
Mleta mada umekosa logic pia

Naye ni Mwigulu Nchemba mwingine,(Maana naamini hiyo ni taasisi, maana mtu mmoja hawezi kuwa Pinda kiasi hiki) na pia huenda amesoma UDSM, na alipata first class degree, lakini naye anakosa Logical thinking kama mtu anayemtetea. Ni kukosa logical thinking kuanzisha mada hii
 
Kwani slaa hamumjui ni kawaida yake kudhalau kila matu na kila kitu yeye anamheshimu mshumbushi tu.
 
aiseeeee babayangu
kwanza nagonga LIKE kubwa hata huyo kwenye a vaster yako pia alibebwa
bebwa na GPA yake ya 2.2

Mkuu Rombo lakini pale pazuri, unaweza kukaa pale Tbs/Atb ukawa unacheki mandhari ya library bila kuingia ndani afu unasubiri kudesa kama Mwigulu Nchemba alivokua anafanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…