Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

hebu kakojoe urudi kulala naona upo kwenye usingizi wa mang'amng'am
 
Unajivunia nini wewe? Kaa kimya wenda ungeonekana unabusara. Hicho chuo kinazalisha watu wengi dhaifu.[/QUOTE8]

Hili ndo tatizo la shule zenu za siku hizi! Wakati sisi tunasoma, ili uchaguliwe kwenda secondary ulitakiwa kuwa na ufaulu wa kutosha mfn maksi 136 kwa 150 ndo unatoka kijijini kwenda Bwiru Boys! Sasa ninyi wa siku hizi wa shule za kata maksi sijui ni ngapi na huko mnakoenda ni ombwe! Sishangai kusikia hujivunii elimu yako maana ni ya kuunga unga na kudesa. I still believe that Udsm is the best university in Tanzania! Lakini ubora pia waweza kuwa individually! Maana vilaza wanaidesa hata Harvard wapo!

Sasa unabisha nini? Mbona wote mnazungmza kitu kilekile? Kwamba ni kweli vyuoni siku hizi product zao ni dhaifu. Hata waliomaliza zamani pia wengi ndio waliotufikisha hapa kama taifa! But it doesnt mean hakuna wasomi wazuri wanaotokana na vyuo hivi.
 
Hivi wewe hapa tz unathamani gani na huo usomi wako? Mpaka hapa mi nakuona kuwa umjinga sana.
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

Unashangaa nini. Mtu mwenyewe huyo ana udr wa kubumba aka Dr Kanjanja hajui hata University ni nini.
 
Tatizo lenu mnapenda unafiki kama nini sijui,kwani wewe haujui kuwa chuo kikuu cha dar es salaam hakizalishi wanafunzi bora?embu mchukue mwanafunzi aliyemaliza UDSM kamfananishe na mwanafunzi aliyemaliza St Augustine ua Tumaini uone uwezo wao wakuelewa na kunyambua mambo ukoje then utakuwa na jibu.

Hapo mkuu unajidanganya....Tumaini bado sana......na st.Augustine hawana uwezo wa kunyambua mambo kivile sema wanazuoni wa udsm wanaojipendekeza ndio wanapewa attention!
 
Sasa unabisha nini? Mbona wote mnazungmza kitu kilekile? Kwamba ni kweli vyuoni siku hizi product zao ni dhaifu. Hata waliomaliza zamani pia wengi ndio waliotufikisha hapa kama taifa! But it doesnt mean hakuna wasomi wazuri wanaotokana na vyuo hivi.

Hapo tunaenda sawa, sitaki mtu aseme udsm kama chuo kwamba hakifai au elimu za wote waliopita pale ni kudesa! Sasa pia nimekubali kuwa zao dhaifu la hawa wabafunzi wa kata litaharibu vyuo vyetu. Maana si ajabu alikuja kijana nimfundishe sequence and series nikakuta hajui simultaneous eqn, nikataka nimpige msasa huko nikakuta hata table ya 1 hd 12 hajui! Ndo hawa anamaliza degree anasingizia chuo ninachokiamini na kukithamini.
Lakini pia watu ambao hawakupita udsm huwa wana inferiority fulani ambayo watakufa nayo!
 
NDUGU YANGU KAMA ELIMU UNAYOPATA HAIKUPI MWAMKO WA KUJITEGEMEA BASI HIYO SIO ELIMU.
nimesoma nje post graduate mafunzo unayopata ni ya kujitegemea na sio kusubiri kuajiriwa.
watanzania wangapi wako mitaani hivi leo wakisubiri ajira badala ya kujiajiri?
ni watanzania wangapi wa UDSM wanakataliwa katika soko la ajira kwa vile hawakubaliki ktk soko la ajira?
pale UDSM kuna la zaidi ya kukariri kwa vile wananfunzi wanaogopa SUP?/
tena walimu wa pale wakiwafelisha wanajisifu sana badala ya kuwa ashamed kwanini mwanafunzi kafeli..
wengi wanasoma kwa tensio ya kufaulu na sio kuelewa.

UKO SAHIHI MKUU, wengi tu humu tumesoma udsm na vyuo vingine vya hapa tanzania. Kuna tatizo kubwa sana upande wa LECTURERS, wengi wanaona sifa kumfelisha mwanafunzi.

Pia mambo ya cheating yako Mengi tu.

Na Issue ya Kusoma ili kufaulu mtihani ndo JANGA kubwa. Unakuta mtu amemaliza Business administration degree, hata kuandika barua ya kazi au CV ni mgogoro, Business communication skills hakuna.
 
Hivi wewe hapa tz unathamani gani na huo usomi wako? Mpaka hapa mi nakuona kuwa umjinga sana.

Haswaaaa! Naamini unadhani ili niwe na mchango ni lazima niwe mwanasiasa na niandamane na kupiga kelele. Hivi ndivyo mnavyofundishwa Vijana wangu. U need to think critically on issues! Kusaidia taifa unitumie cv yako naweza kukupa kazi walau ndo utaona utofauti wa hizi elimu zetu!
 
Asenga tangu ubebwe na kuwekwa ktk famili ya Baba Rizimoko na wewe unajiona ni wa Ikulu,unamua kujiita ASENGA WA "PAKAYA"...umebadili na dini upate fadhila...

Huo wivu wa kike. Dini ni private issue.
 
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika

bora uwaambie hao wanaoongea bila data alaf wajue chuo cha pili tz ambacho ni cha 98 afrika ni herbert kairuk vingine vyote kushney labda vitaingia kwenye top 10000 na wasipoangalia watafika top 100000
 
Kweli JF imevamiwa na Vilaza wa CCM, mleta mada hujui hata kusoma na Kuelewa alichokiandika Dr.Slaa.

Embu jaribu kusoma between the lines na kisha tafakari maneno haya kwenye hiyo nukuu ya Dr.Slaa.
''Sina hakika Kama...'' kisha ''Unless mnatuambia....''

*Kifupi ni kwamba Dr.Slaa ana mashaka sana elimu ya Mwigulu anayotambia nayo(First Class Economic!!!) kinyume chake Chuo alichosomea Mwigulu kitakuwa ni kibovu sana, why? Haiwezekani mtu aliyepata elimu ya Chuo kikuu kwa uhalali kila mara akashindwa kuwa na LOGIC kwa kile anachokisema.
Mkuu umeona ee! Hawa jamaa wa 7thou ni bure kabisa, nimempa kijana mmoja yuko form three aisome hii thread yeye kaelewa Slaa alimaanisha nini na kashangaa hawa wanaotokwa povu wana uelewa kiasi gani?
 
Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...

Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???

Na wewe ulisoma wapi?Madesa mnazidi kujifichua
 
Kama Mwalimu aliyemfundisha ni Dr. Bensin Bana ungetegemea apate nini zaidi ya Frist Class degree ya hovyo hovyo kama kichwa chake?
 
Mleta mada umekosa logic pia

Naye ni Mwigulu Nchemba mwingine,(Maana naamini hiyo ni taasisi, maana mtu mmoja hawezi kuwa Pinda kiasi hiki) na pia huenda amesoma UDSM, na alipata first class degree, lakini naye anakosa Logical thinking kama mtu anayemtetea. Ni kukosa logical thinking kuanzisha mada hii
 
Kwani slaa hamumjui ni kawaida yake kudhalau kila matu na kila kitu yeye anamheshimu mshumbushi tu.
 
aiseeeee babayangu
kwanza nagonga LIKE kubwa hata huyo kwenye a vaster yako pia alibebwa
bebwa na GPA yake ya 2.2

Mkuu Rombo lakini pale pazuri, unaweza kukaa pale Tbs/Atb ukawa unacheki mandhari ya library bila kuingia ndani afu unasubiri kudesa kama Mwigulu Nchemba alivokua anafanya...
 
Back
Top Bottom