Dr Slaa.,Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonyesha dharau kubwa na kukosa kwake imani kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama UDSM juu ya kiwango cha Elimu kinachotolewa chuoni hapo. Kadhia hiyo imetokea pale Dr Slaa alipokuwa anajibu Post ya Mwigulu Madelu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambapo Dr Slaa alisema kuwa kulingana na kauli za Mwigulu anazozitoa ni zao la Elimu aliyoipata chuoni hapo ambapo Mwigulu alipata ufaulu wa first class chuoni hapo...
Je maneno haya ya Dr Slaa yanaukweli wowote kuwa chuo hiko kinatoa mazao yasiyofaa na kwamba anayoyasema na kuyafanya mwigulu yanatokana na Elimu yake aliyoipata Chuoni hapo..???
hebu kakojoe urudi kulala naona upo kwenye usingizi wa mang'amng'am