Pre GE2025 Dr. Slaa: Ni dhahiri Milioni 150 zilizotolewa na Rais Samia zimeingia kwa sura ya kampeni, anayebisha abishe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio kazi ya fedha za umma.

Fedha hizi zinazotapanywa namna hii zinaingia kwa sura ya kampeni kama ambavyo kampeni ya Rais Samia ilianza huko nyuma na mabango yanayotawanywa nchi nzima yamekuja kuanza na vitu mbalimbali ambayo vinafanyika na taarifa zinazotolewa kwamba hata fedha za umma zinazojenga shule, hospitali, barabara zinakuja kuelezwa kuwa Rais anaupiga mwingi kwa maana ya kwamba ametoa fedha kumbe fedha ni kodi zenu wananchi, mnakaangwa na mafuta yenu wenyewe kama samaki!

Kama mlichunguza hotuba yake ya kuuaga mwaka pia ilikuwa hotuba ya kampeni, kama watu wa serikali wanabisha watoke hadharani tuanze kubishana.

Dr. Slaa ameyasema hayo alipokuwa anaongea club house tar 1, 2024.
 
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio kazi ya fedha za umma.

Fedha hizi zinazotapanywa namna hii zinaingia kwa sura ya kampeni kama ambavyo kampeni ya Rais Samia ilianza huko nyuma na mabango yanayotawanywa nchi nzima.

Ile ni rushwa takukuru wakamkamate mtoaji na mpokeaji
 
Mnisamehe kwa hili, Mbowe ni mj*nga anachezewa kama ameingia mjini jana.
 
Back
Top Bottom