Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Hao uliowataja si wanachama wa ChademaMnyika, Mdee na Bulaya kwa niaba ya Chadema wametoa Million 25
Swali lingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao uliowataja si wanachama wa ChademaMnyika, Mdee na Bulaya kwa niaba ya Chadema wametoa Million 25
Swali lingine
Kwani hakuwa na haki ya kukisema CHADEMA? CHADEMA si ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?Wakati amejiuzulu Chadema alikuwa bado hajawa sehemu ya serikali, mbona alitapika nyongo kweli kweli pale Serena hotel dhidi ya Chadema na baada ya hapo akapewa ubalozi.Huoni kwamba ilikuwa ni Campaign dhidi ya Chadema na Lowasa ambaye ni KKKT na leo tena anajitokeza kushambulia mchango uliotolewa na Rais kwa vile haukwenda RC ambako huwa hakosoi chochote.Alichosema ni kweli lakini huyu mzee ni mnafiki wa kupitiliza,mdini na mbinafsi ambaye hata leo akipewa cheo iwe Chadema ama CCM ananyamaza kimya.Lissu Ndiye mwenye haiba ya kusimamia anachikiamini lakini kwa huyu Dr. Slaa hapana.
Shambulia hoja yake dk slaa sio yeye slaaSiasa bhn! Huyu mwamba kipindi cha jiwe alikuwa anakula kwahiyo alikuwa haongei... Akiongea ss anasifia aliempa msosi na kuponda kule kwingne