Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Tehtehteh,ndo mkikutana huko mitandaoni mnaambiana hiyo ndiyo contradiction!!...mi husoma Quran hata nikiwa naendesha baiskeli na bila kitabu
Njoo na jibu sio kujitamba kuwa unajua wakati huna majibu.
 
Hizi ni story kama story nyingine hazina ukweli wowote.
 
Hizi ni story kama story nyingine hazina ukweli wowote.
Na hata hivyo ameandika lakini kaficha ukweli kwamba Mtu yeyote akiihama Dini ya Kiislamu ni lazima auwawe sema Dunia kwa sasa Nchi nyingi hazifuati Islamic Sharia.
 
Njoo na jibu sio kujitamba kuwa unajua wakati huna majibu.
Akili ya ung'amuzi huna, nimekwambia mi husoma Quran hata nikiwa naendesha baiskeli na bila kuwa na kitabu..kusoma Quran kukoje!?
 
Akili ya ung'amuzi huna, nimekwambia mi husoma Quran hata nikiwa naendesha baiskeli na bila kuwa na kitabu..kusoma Quran kukoje!?
Unaikariri hiyo Quruani kwasababu imeandikwa Kiarabu lakini huielewi na ndio maana huna majibu.
 
Unaikariri hiyo Quruani kwasababu imeandikwa Kiarabu lakini huielewi na ndio maana huna majibu.
Majibu ya nini!?..wewe mbona unaeleweka kuwa zamwamwa,hata ueleweshwe vipi huelewi
 
Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?

Siyo kila mtu mweusi ni mbantu. Kumbuka hilo.
Mungu kaumba Mbantu kama alivyomuumba Mwarabu Mungu hana Lugha wala Kabila kwanini tuswali kwa Kiarabu Azana Kiarabu nk. Nk.
 
Mungu kaumba Mbantu kama alivyomuumba Mwarabu Mungu hana Lugha wala Kabila kwanini tuswali kwa Kiarabu Azana Kiarabu nk. Nk.
Jibu hili kwanza:

Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?

Siyo kila mtu mweusi ni mbantu. Kumbuka hilo.
 
Sasa ukishavuta bangi si ni watu wote unawaona hawana akili yaani wewe ndiye mwenye akili nyingi kumbe ni kinyume chake
Hebu yasikilize maneno ya Bob Marley halafu tuone
 
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.huko
Sio kweli.Huko Ireland ya kaskazini,magaid ya waprotestant na wakatoliki,wameuana sana,na huko Rwanda wakatoliki wamewauwa watu wengi,mpaka kanisani.Bado Lord resistence Army,ya wakristo,imeua watu wengi,hatujamgusa Askof Kibwetere wa Uganda,alivyoua na kuchoma waumini Kanisani,ukienda Kenya hapo Mchungaji Ezekiel alivyoua mamia ya watu.Na sehemu nyingi tu.Huyo muisrael,gaidi amemuua Yesu,wakamsulubu,wakampiga,wakamtukana,wakamvalisha nepi,,na alikuja kuwakomboa.Hizo dini za asili,ndio zilizowauza waafrika utumwani,na kuwazika wazima watu watatu,anapokufa mkubwa wa hizo dini,wakichinja walio hai kwa kutoa kafara,vita vya makabila kwa kuuana,kila siku.
 
Jibu hili kwanza:

Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?

Siyo kila mtu mweusi ni mbantu. Kumbuka hilo.
Hayo ya kuniuliza Asili ya Mbantu ni sarakasi za kutaka kunitoa kwenye Mada.

Azana inaweza ikafanywa ya Kiswahili kuswali zile whispers zinaweza kufanywa Kiswahili nk.

Kiswahili ni Lugha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…