Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu


Sasa Mtu kama huyu utamuambia nini Jina la Kiarabu mavazi ya Kiarabu kwenye Mind yake amekuwa Brainwashed anajiona kuwa yeye ni Mwarabu.

Na Mwarabu hamkubali anamuita "Abidi" maana yake Mtumwa Kiarabu.

Na huyu akiletewa msaada wa Tende hujiona yeye basi tena.

Dr.Umar yuko sahihi sana.
 
Sio kweli.Huko Ireland ya kaskazini,magaid ya waprotestant na wakatoliki,wameuana sana,na huko Rwanda wakatoliki wamewauwa watu wengi,mpaka
Interahamwe hawakuwa wanapigana Vita kwa ajili ya Mungu wale walikuwa kikundi chenye msimamo mkali wa Kikabila au Race.
 
Ogopa dini , mtu mmoja anajiamulia kujiita mtume na kujiamulia anachotaka na kuaminisha watu anaongea na malaika. 🤣
 
Leta maana yako wewe, maana unaji-mwambafai kuwa wewe unajuwa "terminologies" za Kiislam kuliko Waislam.
Huyo Jamaa hajaleta chochote zaidi ya kusema kuwa yeye ameikariri Quruani.
 
Huyo Jamaa hajaleta chochote zaidi ya kusema kuwa yeye ameikariri Quruani.
Narudia:

Leta maana yako wewe, maana unaji-mwambafai kuwa wewe unajuwa "terminologies" za Kiislam kuliko Waislam.
 
Yuko sawa haiwezekani wewe uswali kiarabu na wewe sio mwarabu
 
Mie ananiuzi somtimes kuna vitu ana argue mpka unashangaaa pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…