imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
- Thread starter
- #461
Sasa Mtu kama huyu utamuambia nini Jina la Kiarabu mavazi ya Kiarabu kwenye Mind yake amekuwa Brainwashed anajiona kuwa yeye ni Mwarabu.
Na Mwarabu hamkubali anamuita "Abidi" maana yake Mtumwa Kiarabu.
Na huyu akiletewa msaada wa Tende hujiona yeye basi tena.
Dr.Umar yuko sahihi sana.