Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.Sasa kama jihadi ni dhidi ya makafiri mbona hao Al shabaab huko somalia wanaua waislamu wenzao?!
😁😇😇 hilo pumbavu litakua lilienda kusoma kaswida kama mimi.= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Mimi nafuata madhehebu ya Salafi unayoyazungumza. Na ni kweli madhehebu yenye nguvu na yanayofuatwa na watu wengi pale Saudiarabia na yanayoungwa mkono na serikali ya kifalme ya Saudia ni madhehebu ya kisalafi. Na serikali ya Saudiarabia inapiga vita ugaidi na ndio maana ilimfutia uraia OSAMA BIN LADEN na kumfukuza akakimbilia mara Sudan mara Afghanistan hadi akaenda kufia Pakistan.Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.
Alshababu wanasema kwasababu Wasomali wanafuata mafundisho ya Abdukadir Jailani kwamba na wao ni Makafiri.
Alshababu ni dhehebu la Salafi kutoka Saudi Arabia.
Zingatia sana hapo kwenye Red
Kama ninyi mumepumbazwa sio sisi Marastafari.Mimi nafuata madhehebu ya Salafi unayoyazungumza. Na ni kweli madhehebu yenye nguvu na yanayofuatwa na watu wengi pale Saudiarabia na yanayoungwa mkono na serikali ya kifalme ya Saudia ni madhehebu ya kisalafi. Na serikali ya Saudiarabia inapiga vita ugaidi na ndio maana ilimfutia uraia OSAMA BIN LADEN na kumfukuza akakimbilia mara Sudan mara Afghanistan hadi akaenda kufia Pakistan.
Moja ya misingi ya madhehebu ya kisalafi ambayo ni mwiba dhidi ya MAGAIDI (sisi masalafi huwa tunawaita makhawaariji) ni kuwavumilia watawala pale wanapokosea na kuwapa nasaha na ushauri na kuwakosoa kwa upole na usiri kama vile Allaah alipowapa utume Musa na Kaka yake Haruna kwenda kwa firauni ambaye alikuwa mtawala muovu wa Misri kipindi hicho aliwaambia wakazumgumze nae kwa maneno laini.Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.
Alshababu wanasema kwasababu Wasomali wanafuata mafundisho ya Abdukadir Jailani kwamba na wao ni Makafiri.
Alshababu ni dhehebu la Salafi kutoka Saudi Arabia.
Zingatia sana hapo kwenye Red
Thubutu, kwenye kaswida usijuwe kutofautisha R na L?😁😇😇 hilo pumbavu litakua lilienda kusoma kaswida kama mimi.
Ameongea point gani! Yani nyie watu bwana, bado mmelala usingizi mtakuja kushtuka hapo itakua too lateLakini ukiangalia vizuri ana Point, Waafrika wanaitana kwenda kuswali Misikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.
Na huko shuleni kuanzia sekondari tunasoma kwa lugha ya kiingereza inakuwaje wakati sisi ni waafrika tunasomeshana historia ya Afrika kwa lugha ya kikoloni. Wewe ajabu umeiona kwenye dini tu, huku kwenye maswala ya kidunia huoni ajabu kwanini tunatawaliwa na lugha za wakoloni.???!!!Lakini ukiangalia vizuri ana Point, Waafrika wanaitana kwenda kuswali Misikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.
Kule tunajua ubwabwa na nyama tuThubutu, kwenye kaswida usijuwe kutofautisha R na L?
. Unaota.
Afrikanize Uislamu Quruani na Vitabu vyote viandikwe Kiswahili na Lugha nyingine za Kiafrika.
Azana ya kuitana kuswali iwe ta Kiswahili au iwe kwa Kengele au Alarm.
Badala ya Wanawake wetu kuvaa Hijabu wawe wanavaa Vitenge na Khanga za aina mbali mbali.
Tutakuwa tumejikomboa kifikra kwa kiasi kikubwa.
Vazi la Burka lipigwe marufuku kabisa katika Nchi za Kiafrika.
KATIBA ISEME WAZI KUWA KIONGOZI WA JUU KAMA RAISI ASIRUHUSIWE KUVAA "RELIGIOUS SYMBOLS" HIJABU AU BARAGHASHIA KWASABABU SERIKALI YETU NI SECULAR.
Kwakua wewe sio muislamu hivyo huwezi kuelewaKwahiyo Azana ikiimbwa Kiswahili unafikiri haitakumsha uende kazini asubuhi?!
Kama ninyi mumepumbazwa sio sisi Marastafari.
Kwahiyo Azana ikiimbwa Kiswahili unafikiri haitakumsha uende kazini asubuhi?!