Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Sasa kama jihadi ni dhidi ya makafiri mbona hao Al shabaab huko somalia wanaua waislamu wenzao?!
Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.

Alshababu wanasema kwasababu Wasomali wanafuata mafundisho ya Abdukadir Jailani kwamba na wao ni Makafiri.

Alshababu ni dhehebu la Salafi kutoka Saudi Arabia.

Zingatia sana hapo kwenye Red
 
Mimi nafuata madhehebu ya Salafi unayoyazungumza. Na ni kweli madhehebu yenye nguvu na yanayofuatwa na watu wengi pale Saudiarabia na yanayoungwa mkono na serikali ya kifalme ya Saudia ni madhehebu ya kisalafi. Na serikali ya Saudiarabia inapiga vita ugaidi na ndio maana ilimfutia uraia OSAMA BIN LADEN na kumfukuza akakimbilia mara Sudan mara Afghanistan hadi akaenda kufia Pakistan.
 
Afrikanize Uislamu Quruani na Vitabu vyote viandikwe Kiswahili na Lugha nyingine za Kiafrika.

Azana ya kuitana kuswali iwe ta Kiswahili au iwe kwa Kengele au Alarm.

Badala ya Wanawake wetu kuvaa Hijabu wawe wanavaa Vitenge na Khanga za aina mbali mbali.

Tutakuwa tumejikomboa kifikra kwa kiasi kikubwa.

Vazi la Burka lipigwe marufuku kabisa katika Nchi za Kiafrika.

KATIBA ISEME WAZI KUWA KIONGOZI WA JUU KAMA RAISI ASIRUHUSIWE KUVAA "RELIGIOUS SYMBOLS" HIJABU AU BARAGHASHIA KWASABABU SERIKALI YETU NI SECULAR.
 
Kama ninyi mumepumbazwa sio sisi Marastafari.
 
Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.

Alshababu wanasema kwasababu Wasomali wanafuata mafundisho ya Abdukadir Jailani kwamba na wao ni Makafiri.

Alshababu ni dhehebu la Salafi kutoka Saudi Arabia.

Zingatia sana hapo kwenye Red
Moja ya misingi ya madhehebu ya kisalafi ambayo ni mwiba dhidi ya MAGAIDI (sisi masalafi huwa tunawaita makhawaariji) ni kuwavumilia watawala pale wanapokosea na kuwapa nasaha na ushauri na kuwakosoa kwa upole na usiri kama vile Allaah alipowapa utume Musa na Kaka yake Haruna kwenda kwa firauni ambaye alikuwa mtawala muovu wa Misri kipindi hicho aliwaambia wakazumgumze nae kwa maneno laini.

{ ٱذۡهَبَآ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ }"
[Surah Ṭā-Hā: 43]

Nendeni kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka.
{ فَقُولَا لَهُۥ قَوۡلٗا لَّيِّنٗا لَّعَلَّهُۥ يَتَذَكَّرُ أَوۡ يَخۡشَىٰ }
[Surah Ṭā-Hā: 44]

Mwambieni maneno laini, huenda akazingatia au akaogopa."

Huo ndio mwongozo wa uislamu tangu enzi za Nabii Musa na Firauni hadi kitakaposimama kiyama.

Uislamu unaharamisha uchochezi, uasi na mapinduzi dhidi ya watawala hata kama wamekosea bali uislamu unataka watawala wapewe nasaha, kwa upole ,na kwa usiri siyo kutaja makosa ya watawala kwenye mimbari za misikiti au mbele ya vyombo vya habari.
Sasa Alqaida na ndugu zao hawalitaki hilo na ndio maana MTAWALA AKIKOSEA KIDOGO TAYARI WANAMUITA KAFIRI NA KUANZA MANENO YA UCHOCHEZI NA KUHAMASISHA MAPINDUZI DHIDI YAKE kwahiyo Ugaidi na usalafi ni vitu viwili tafauti sana.
 
Lakini ukiangalia vizuri ana Point, Waafrika wanaitana kwenda kuswali Misikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.
Ameongea point gani! Yani nyie watu bwana, bado mmelala usingizi mtakuja kushtuka hapo itakua too late
 
Lakini ukiangalia vizuri ana Point, Waafrika wanaitana kwenda kuswali Misikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.
Na huko shuleni kuanzia sekondari tunasoma kwa lugha ya kiingereza inakuwaje wakati sisi ni waafrika tunasomeshana historia ya Afrika kwa lugha ya kikoloni. Wewe ajabu umeiona kwenye dini tu, huku kwenye maswala ya kidunia huoni ajabu kwanini tunatawaliwa na lugha za wakoloni.???!!!
 
Moja ya misingi ya madhehebu ya kisalafi ambayo ni mwiba dhidi ya MAGAIDI
Hizi nyingine ni sarakasi lakini ukweli ni kwamba Uislamu unaenda Bega kwa Bega na Arabization.
 
Ameongea point gani! Yani nyie watu bwana, bado mmelala usingizi mtakuja kushtuka hapo itakua too late
Kwahiyo Azana ikiimbwa Kiswahili unafikiri haitakumsha uende kazini asubuhi?!
 
23102018_france_full_face_veil.jpg

Senegal na Nchi nyingine za West Africa zimeanza kuamka na kupiga Marufuku Hijabu.

Mungu Mkubwa hatimae Mwafrika anaamka.
 
Afrikanize Uislamu Quruani na Vitabu vyote viandikwe Kiswahili na Lugha nyingine za Kiafrika.

Azana ya kuitana kuswali iwe ta Kiswahili au iwe kwa Kengele au Alarm.

Badala ya Wanawake wetu kuvaa Hijabu wawe wanavaa Vitenge na Khanga za aina mbali mbali.

Tutakuwa tumejikomboa kifikra kwa kiasi kikubwa.

Vazi la Burka lipigwe marufuku kabisa katika Nchi za Kiafrika.

KATIBA ISEME WAZI KUWA KIONGOZI WA JUU KAMA RAISI ASIRUHUSIWE KUVAA "RELIGIOUS SYMBOLS" HIJABU AU BARAGHASHIA KWASABABU SERIKALI YETU NI SECULAR.

Nikuulize je huko kwenye ukristo , WAMASAI, wasukuma, wahaya, wagogo, wazaramo, wasambaa, wanyaturu, wakurya na wachaga wakikutana kanisani kila mmoja husali kwa lugha ya kabila lake au wooote husali kwa lugha ya kiswahili?! Ikiwa wanasali kwa kiswahili, ni kwanini wanaacha kuomba kwa lugha za mababu zao na kuanza kuomba kwa lugha ya waswahili.
 
Kama ninyi mumepumbazwa sio sisi Marastafari.

URASTAFARI NI DINI YA WAVUTA BANGI.
Naona mrisho mpoto siku hizi kaanza kuvaa viatu, mwisho na ule uchafu aliourundika kichwani atakuja kuuondoa!
 
Back
Top Bottom