Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

sawa kabisa lakini ingefaa sana taasisi kama bakwata ama yeyote ile ikae chini itafakari namna ya ufundishaji dini. Mfano kitu kama tafsiri umeitaja kuna wengi wamekuja kukutana na tafsiri baadae sana. Japo wengi kuadmit inakuaga ngumu kuadmit ila ni kawaida sana kukuta mtu amehifadhi sura kadhaa bila kufahamu ujumbe uliopo aya kwa aya, akienda mbali atafahamu hii sura imelenga hiki na hiki. Mimi kwa observation yangu ndogo nimeona hili ni tatizo la kimfumo. Ndo maana hata clip ya huyo mmarekani hoja pekee niliyoiona ya kuleta mjadala ni lugha. As long as imekubalika kumaintain lugha ni vema waumini wakafahamu lugha
 
Allah alituumba tuongee lugha tofauti ili tupate kumjua yeye kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuumba atakavyo
Unaona hapo huwezi kumuelezea Mungu kwa lugha yako hadi urejee neno allah
Kwani ulisema Mungu tu maana itabadilika?
 
Shida ni kwamba huelew qur'an ilikuwa inashuka kutokana na matukio
 
Allah alituumba tuongee lugha tofauti ili tupate kumjua yeye kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuumba atakavyo
Kwenye Ibada nyingi za Allah inatumiwa Lugha ya Kiarabu ikiwemo Swala kweni yeye Allah haelewi kuwa aliumba Waafrika weusi?!
 
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.

Sio kweli.
 
Mimi nilikuwa mkristo but Alhamdulillah Allah aliniongoza nikaingia kwenye njia sahihi na sijutiii kuwa muislamu 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakristo hupinga ushoga hapa jamvini, lakini wakimaliza wanaenda kumuita Yesu bwana wao.

Pamoja na kwamba uislamu ni dini ya hovyo, ila wakristu nao wana 'u-hovyo' wao maalum.
 
Hapana mkuu.
Mi nilishazikimbia dini zote. Za kizungu, kiarabu na hata kiafrika pia. Sitaki dini.
Sitaki mtu aniambie mambo ya dhahania as if ni uhalisia.

Nilikuwa kwenye kukumbusha tu mkuu, kwa maana ulionekana ukristo ulikuwa umeusahau tu:



Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Kwenye Ibada nyingi za Allah inatumiwa Lugha ya Kiarabu ikiwemo Swala kweni yeye Allah haelewi kuwa aliumba Waafrika weusi?!
Lugha sio tatizo kwa muktadha huo unaoutaja hapo
 
Mimi nilikuwa mkristo but Alhamdulillah Allah aliniongoza nikaingia kwenye njia sahihi na sijutiii kuwa muislamu 😁
Kumbe wewe ni kama mimi, mimi nilikuwa Mwisilamu, nikabadri dini fasata na kuwa Mkristo,

Tangu nipokee wokovu, sjawahi kujuta, nilikuwa naumwa sana kichwa kabla, niliombewa nikaanguka mapepo, tangu siku ile nilipona kichwa mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…