Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
sawa kabisa lakini ingefaa sana taasisi kama bakwata ama yeyote ile ikae chini itafakari namna ya ufundishaji dini. Mfano kitu kama tafsiri umeitaja kuna wengi wamekuja kukutana na tafsiri baadae sana. Japo wengi kuadmit inakuaga ngumu kuadmit ila ni kawaida sana kukuta mtu amehifadhi sura kadhaa bila kufahamu ujumbe uliopo aya kwa aya, akienda mbali atafahamu hii sura imelenga hiki na hiki. Mimi kwa observation yangu ndogo nimeona hili ni tatizo la kimfumo. Ndo maana hata clip ya huyo mmarekani hoja pekee niliyoiona ya kuleta mjadala ni lugha. As long as imekubalika kumaintain lugha ni vema waumini wakafahamu lughaSura ya kwanza kabisa aliyofundishwa mtume ni kusoma kiukweli kiarabu ni changamoto kwa asietaka kusoma kwasababu ndio lugha mama ya kitabu tunachotumia lakini sio kubwa sana kwakua kuna tafsiri hivyo utahitajika kujua idea at least na lugha nyepesi pia kujifunza kwani maneno mengi pia ni ya kiswahili