Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Aaaaaiiiseee! Hemu Fanya wepesi umpe hata wawili tu jemedali Netanyahu awale kirafi
Bikra wa 57 huyu hapa
3da0294d62b605099550ec8a9e1bf59c-2192477342.jpg
 
kKruka maji halafu kaingia tena kwenye maji...
 
Kichwa bila ubongo ni fuvu
Tunataka uislam kama wa Dubai, Saudia, Egypt and the like. Mali,Bukinafaso,Niger zinaangamia sababu ya wapumbavu( jihadist) wanampigania Allah wa mchongo.
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
  • 5525590-ab47e7ed6a3edf76e2c7f0902480fd95.mp4
    4.5 MB
Ni ngumu kwa watu wenye dini kuelewa kwamba KILA DINI INA KASORO kwasababu kila mtu anatetea dini yake, anaona haina makosa.

Waislamu wengi sana waliuawa na wakristo kwenye crusades za karne ya 10 na 11.

Eugenics, mtazamo wa kubagua watu wa rangi ulikuzwa sana na wakristo.
Wakristo au watu wanaonasibishwa na Ukristo!?
 
Asahau kabsa mwarabu kutufanya watumwa tena
Ukipoteza Culture yako ni Utumwa vile vile,angalia leo Wasudan wamepoteza Lugha yao na Culture yao na wanajiona Waarabu na wanaanza kuua Waafrika wengine huko Darfur.
 
Tatizo au ajabu iliyopo ni kuwa Myahudi anakunbatiwa na kusaidiwa na wala Nguruwe huku yeye myahudi akiangamiza wasio kula Nguruwe wenzake (Waparestina na Wale anon).
Tatizo ni kupandikizwa uyahudi vichwa vyenu
 
Magaidi ya Kiislam yamekuwa yakiwaua sana Waafrika wanaoabudu Dini za Kimila za Kiafrika.
mali-armed-groups.jpg

Magaidi 👆

bd7a5ca02ab53c627744e3579dbf7fe3.jpg

👆Hawa ni wahanga wa Ugaidi wa Kiislam huko Mali wanaitwa Dogon wako mbioni kutoweka kwasababu Jeshi la Mali limezidiwa sana na Magaidi hao wanastahilikwenda kusaidiwa.
 
architecture-Dogon-cliff-village-Bandiagara-escarpment-millet.jpg
dogon_country7.jpg

Vijiji vya Wadogon huwa wanajenga Milimani ili kuepuku uvamizi.
 
Uislam hauna msitari unaosema ua watu wa dini nyingine,waulize waislam wakufundishe siyo unakopikopi vitu kwenye mitandao yenye chuki dhidi ya uislam,unaenda kutafuta jema la CCM ofisi za chadema secretary mdude na masese!!
Samahani ndugu! Nipo serious na n ataka kuelimishwa....! Sijui aya wala kurasa. Ila nataka unitoe tongotongo... habari za kuwakata vichwa wasio waislamu hazijaelezwa kwenye kitabu cha Allah?
 
55f9ff640793a.image.jpg

Dr. Umar Johnson sasa ngoja tuone je atabadili na hilo jina la Kiarabu la Umar?! Akili mukichwa.
Je akibadili atajitolea jina la Kiafrika kutoka Afrika ya Magharibi au Mashariki?! Muda ndio utasema.
 
Aisee! Nawaonea huruma Hawa jamaa. Hawana shida na mtu, Kisha vichaa flani wanawashambulia na kuwaua.
Hawa Dogon Imani yao inasema wametoka kwenye Nyota ya Orion inasemekana Imani zao zinafafana na Wamisri wa Kale.
 
Back
Top Bottom