Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Fikiri, mtu aliteleta sheria zinazotumiwa na watu billion mbili dunia nzima leo hii. Asilijuewe zuri na baya?
Aisha was six years old when she married the Prophet Muhammad, who was 53 at the time. Aisha was the daughter of Abu-Bakr.

Sasa unabisha nini Bibie?! Wewe wakati ulikuwa na umri wa miaka 6 ulikuwa na Hedhi?!
 
Mimi ni Muislam, nakwambia Hiyo ni porojo ya uongo na uzushi, umejitungia tu.
 
Umeenda kumuabudu mungu aliezaliwa na binadamu kama wewe, akanyonya, akatahiriwa, na mwisho akasulubiwa hongera sana.
Chief, we endelea kumwekea mipaka Mungu utadhani kuna jambo hawezi kufanya

Ndiyo maana kuna wapumbavu katika vita vyao husema wanapigana vita kwa ajiri ya mungu wao, utadhani Mungu hawezi kujipigania
 
Alichoongea ndo ukweli mtupu japo ni mchungu kwa wafia dini. Uislam umelenga kupandikiza tamaduni za kiarabu kwa wafuasi wake na si zaidi ya hapo! Itafika wakati waafrika wengi watarudi kwenye dini zao za asili walizozikataa awali. Takbiiir
 
Miaka 6 anaona hedhi mm niko na biti yangu Ana miaka 11 na hata haingii hedhi wewe Acha zako
Usifananishe watu wa mashariki ya kati,wanaokula nyama na maziwa,na mtoto wako anayekula ugali na chumvi.Mpeleke hospital mwanao,ana matatizo ya afya.
 
Nitafute ya nini wakati wewe ndio kitabu chako iweke hapa kwa faida ya wasomaji wa JF.
Si nimeshakujibu uongo na uzushi wako tu huo?

Nini usichoelewa?

Uislam ni mwema sana.
 
Alichoongea ndo ukweli mtupu japo ni mchungu kwa wafia dini. Uislam umelenga kupandikiza tamaduni za kiarabu kwa wafuasi wake na si zaidi ya hapo! Itafika wakati waafrika wengi watarudi kwenye dini zao za asili walizozikataa awali.

Aisha was six years old when she married the Prophet Muhammad, who was 53 at the time. Aisha was the daughter of Abu-Bakr.

Sasa unabisha nini Bibie?! Wewe wakati ulikuwa na umri wa miaka 6 ulikuwa na Hedhi?!
Usifananishe watu wa mashariki ya kati wanaokula nyama na maziwa,na watu wa afrika,wanaokula ugali na chumvi.Wale wa mashariki ya kati wana afya,manake Yesu,aliolewa na Yoseph(MIAKA 90),MAMA WA Yesu akiwa na miaka 13.
 
Andika vizuri mkuu
 
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.

View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Huyu hajielewi,hakusoma uislam,Uislamu ulikuja na tamaduni zake;
1.Kukataza zinaa(tendo la ndoa,kufanya wasio wanandoa)
2.Watoto wa nje ya ndoa,kupatikana kwa watoto wa mitaani.
3.Muislamu kutakiwa kuvaa nguo za kijistri mke na mume.
4.Kukopeshana kwa riba(kausha damu).Uislamu unakataza mikopo hii.
5.Elimu ni lazima kwa mtoto wa kike na wa kiume.
6.Huwezi kuwa muislamu,bila kusoma uislamu.
7.Uislamu umekataza,kupunja kwenye vipimo.
8.Uislamu una taratibu maalumu,kurithishana mali.
9.Uislamu una utaratibu maalumu,wa kuendesha secta za fedha,mabenk na taasisi za kukopesha.
10.Uislamu unahimiza kufanya matibabu.Ukiumwa ujitibu.
11.Uislamu unahimiza kufanyakazi.
12.Uislamu umeweka heshima kwa mama(mwanamke),mtoto hata afanye ibada vipi,prpo yake iko chini ya unyao wa mama.
13.Uislamu umekataza pombe,na leo madaktari wote na wasayansi,wamekubal kuwa pombe haifai kiafya.
14.Na mengine mengi
HUO NI UTAMADUNI WA KIISLAMU,SIO UTAMADUMI WA Muarabu,maana wapo waarabu wakristo,hawafuati hayo.Ende akasome.Uislamu ulipoingia nchi za arabuni,vyote hapo juu,vikifanyika,uislamu ukakataza.
 
Back
Top Bottom