Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Huyu hajielewi,hakusoma uislam,Uislamu ulikuja na tamaduni zake;
1.Kukataza zinaa(tendo la ndoa,kufanya wasio wanandoa)
2.Watoto wa nje ya ndoa,kupatikana kwa watoto wa mitaani.
3.Muislamu kutakiwa kuvaa nguo za kijistri mke na mume.
4.Kukopeshana kwa riba(kausha damu).Uislamu unakataza mikopo hii.
5.Elimu ni lazima kwa mtoto wa kike na wa kiume.
6.Huwezi kuwa muislamu,bila kusoma uislamu.
7.Uislamu umekataza,kupunja kwenye vipimo.
8.Uislamu una taratibu maalumu,kurithishana mali.
9.Uislamu una utaratibu maalumu,wa kuendesha secta za fedha,mabenk na taasisi za kukopesha.
10.Uislamu unahimiza kufanya matibabu.Ukiumwa ujitibu.
11.Uislamu unahimiza kufanyakazi.
12.Uislamu umeweka heshima kwa mama(mwanamke),mtoto hata afanye ibada vipi,prpo yake iko chini ya unyao wa mama.
13.Uislamu umekataza pombe,na leo madaktari wote na wasayansi,wamekubal kuwa pombe haifai kiafya.
14.Na mengine mengi
HUO NI UTAMADUNI WA KIISLAMU,SIO UTAMADUMI WA Muarabu,maana wapo waarabu wakristo,hawafuati hayo.Ende akasome.Uislamu ulipoingia nchi za arabuni,vyote hapo juu,vikifanyika,uislamu ukakataza.