Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Jikite kwenye Hoja ya Dr.Umar kwamba Uislamu unasabambaza Utamaduni wa
Hiyo siyo hoja ila ni muunganiko wa ujinga na upumbavu unaozungumzwa na mtu ambaye hajui chochote kuhusu uislamu na uarabu. Angesoma historia ya uislamu na kuona namna ambavyo waarabu wa zama hizo walivyompiga vita mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم na walivyoungana na wayahudi wa zama hizo kumpiga vita mtume na kupanga njama za kumuua angejua kuwa uislamu na uarabu ni vitu viwili tafauti sana. INGEKUWA MTUME صلى الله عليه وآله وسلم kaja duniani kuwafundisha watu washikamane na Mila, desturi na tamaduni za kiarabu basi waarabu wasingempiga vita. Ukisoma historia ya vita vya jihadi alivyopigana mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم utakuta 90% alipigana na waarabu wenzake na asilimia chache ndizo alipigana na mayahudi. Sasa swali nikuulize wewe unayemtetea huyo nguruwe mweusi wa kimarekani ambaye ujinga na upumbavu uliomo kichwani mwake umemfanya ajitoe kwenye dini tukufu ya kiislamu, ikiwa uislamu unafundisha kushikamana na Mila , tamaduni na desturi za waarabu, ILIKUWAJE WAARABU WA ZAMA HIZO WAMPIGE VITA MTUME WAO صلى الله عليه وآله وسلم AMBAE ANAFUNDISHA TAMADUNI , MILA NA DESTURI ZAO??!!.
 
Arabization is the process by which individuals and cultures become acclimated to Arab culture and language. It occurred in Africa after the Muslim conquest
 
Hoja zaifu sana, tena ya kibaguzi. Babu zetu walivaa Migolole.

Muangalie Emperor Menelik2 alivyopiga Pamba
View attachment 3119698
Mfalme wa Uhabeshi.
Ukisema hoja yangu ni ya kibaguzi hata hoja ya kuwakataa waaarabu pia ni ya kibaguzi!
Pili kama mababu zetu walivaa migolole kama wamasai kwanini Leo waafrika wavae suti na tai shingoni?! Hayo si mambo ya kizungu. Mwisho ni kwamba picha ya mtu uliyemuonyesha hapo ana ndevu na kavaa kilemba kichwani je hayo si ndiyo Mila za kiarabu?!
 
Kwanini usyaandike kwa Kiswahli?!i
Umeshindwa kuyasoma ?! Hayo ni maneno ya kiarabu, yakiandikwa kwa herufi za kilatini ladha yake inapungua!.
Pamoja na hayo sina uhakika kama kiswahili kina herufi zake, sisi Bado tunaazima herufi kwa king Charles III.
 
Arabization is the process by which individuals and cultures become acclimated to Arab culture and language. It occurred in Africa after the Muslim conquest
 
Unamkuta Mwafrika Mweusi anafoka kwa jazba kabisa.. "Allaah Akbar..." badala ya kusema "Mungu ni Mkubwa..." au :Ngai ni Mkulu" sote tunajua Allaah Akbar! ni KIARABU.

Utumwa wa FIKRA ni kitu HATARI sana.
 
Mozambique-ISIS-Africa-islamists.jpg

Tazama Bendera zenye maandishi ya Kiarabu na Waafrika waliokuwa Brainwashed na Arabized wanavyouana huko Somalia.

Wanauana kwa ajili ya Allah.
 
Umeshafanyanywa kuwa Mtumwa wa Kiakili.
Labda ni kweli! Muhimu zaidi ni kwamba Nina furaha, Nina Imani, Nina amani kwa hiki nilichokichagua.
Nina amani sana kwa kuwa mimi ni mtumwa wa Allaah ,Mungu aliyeniumba na kuumba mbingu, ardhi na vilivyomo.
Kwa hakika ningeangamia sana kama ningechagua kuwa mtumwa wa shetani kama wewe.
LAKINI MIMI KUWA MTUMWA WA ALLAAH NI JAMBO LINALONIPA FURAHA, AMANI NA IMANI.
 
View attachment 3119785
Tazama Bendera zenye maandishi ya Kiarabu na Waafrika waliokuwa Brainwashed na Arabized wanavyouana huko Somalia.

Wanauana kwa ajili ya Allah.
Hapana!! Alshabaab, Al Qaida, Boko haramu na mfano wao HAO NI MAGAIDI AMBAO AIDHA WAMEFAHAMU VIBAYA MAFUNDISHO YA UISLAMU AU WAMEYAPOTOSHA MAFUNDISHO YA UISLAMU MAKUSUDI ILI KUFIKIA MALENGO YAO YA KIDUNIA.
Wanachokifanya wala hawapiganii uislamu bali wanautumia uislamu vibaya ili kufikia malengo yao ya kidunia na WENGI WAO HASA VIONGOZI NI VIBARAKA WA NCHI ZA KIMAGHARIBI NA NDIO WANAWAPA SILAHA NA UFADHILI MWINGINE.
 
Waafrika wanaovaa Suti na Tai ni wachache sana.
Na hao wavaa tai na suti unaowaita wachache ndio kama akina Mwigulu nchemba ndio wanaoshika mamlaka na uongozi wa NCHI za kiafrika. Hebu niambie rais wa Afrika asiyevaa Suti na tai.
Mfalme mswati wa Iswatini mwenyewe anapiga suti na tai na wewe unasema eti ni wachache!!
 
Mfalme Mswati ni moja ya Waafrika wachache wanaovaa suti.

Lakini mda mrefu huwa anavaa mavazi ya Kimila ya Kiafrika.
 
HAO NI MAGAIDI AMBAO AIDHA WAMEFAHAMU VIBAYA MAFUNDISHO YA UISLAMU AU WAMEYAPOTOSHA MAFUNDISHO YA UISLAMU MAKUSUDI ILI KUFIKIA MALENGO YAO YA KIDUNIA.
Sio kweli soma Quruani vizuri uone inavyoamrisha Jihadi dhidi ya Makafiri.
 
Sio kweli soma Quruani vizuri uone inavyoamrisha Jihadi dhidi ya Makafiri.
Sasa kama jihadi ni dhidi ya makafiri mbona hao Al shabaab huko somalia wanaua waislamu wenzao?!
Mimi ni Mwalimu wa dini ya kiislamu kwa zaidi ya miaka 20.
Nikuthibitishie tu kuwa ni kweli Jihadi dhidi ya makafiri ipo kwenye Quran na mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم alipigana vita dhidi ya washirikina na wayahudi , lakini nakuhakikishia pia kuwa hizo vurugu zinazofanywa na hao MAGAIDI wa Alqaida, Alshabaab, Iss na mfano wao SIYO JIHADI YA KIISLAMU.
 
Back
Top Bottom