Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Woman_wearing_niqa_2679987b.jpg

Rwanda wameshapiga Marufuku Burka. Safi sana.
 
Hoja yenu ya kupinga ibada za kiislamu kuendeshwa kwa kiarabu Haina maana hata kidogo.
Tunachopinga ni Uislamu kutumika kama Trojan Horse kuingiza Utamaduni wa Mwarabu Afrika.
 
Maadamu malengo ya kusali ni kumuabudu MUNGU NGAI sisi Waafrika tutumie Lugha zetu.

Hata Waturuki wameoindoa Lugha ya Kiarabu kwenye Shule zao ili kuepukana na Arabization.
Sisi mungu wetu ni Allaah الله na anayo majina mengine mazuri na matukufu wala haitwi ngai .

Na hao waturuki wanaweza kuondoa lugha ya kiarabu shuleni lakini hawawezi kuthubutu kuadhini Wala kuswali kwa lugha ya kituruki!
 
Tunachopinga ni Uislamu kutumika kama Trojan Horse kuingiza Utamaduni wa Mwarabu Afrika.
Nimekuuliza je unajua kuwa waarabu walimpiga vita mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم.
Ikiwa hilo lilitokea fahamu ya kwamba hizo tamaduni unazoita za kiarabu hizo ni Mila za kiislamu na ni sehemu ya mafundisho ya mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم.
Mila za kiarabu alizozikuta mtume صلى الله عليه وآله وسلم ilikuwa kuua watoto wa kike, kunywa pombe, kupiga ramli, kudharauliana na kuabudu miti, mawe na mizimu sawa na babu zako wa kimakonde.
 
Sisi mungu wetu ni Allaah الله na anayo majina mengine mazuri na matukufu wala haitwi ngai .
Huyo Allah ni wa Waarabu MUNGU NGAI ni wetu sisi WAAFRIKA. "MAABIDI"
 
Nimekuuliza je unajua kuwa waarabu walimpiga vita mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم.
Mtume wenu alikuwa Mwarabu na Dini yake ya Kiarabu alichobadilisha ni kuondokana na Polytheism na kusimika Monotheism ndio maana WAARABU WENZAKE wakamchukia.

Lakini Rituals ni zile zile kama kuzunguka Kaaba na Kubusu Jiwe Jeusi.
 
Huyo Allah ni wa Waarabu MUNGU NGAI ni wetu sisi WAAFRIKA. "MAABIDI"
Allaah ni mungu wetu waislamu wa makabila na mataifa yote.
ngai ni mungu wenu marastafari.
Na ukumbuke kuwa tukimkataa Allaah na kuchagua mungu yeyote mwingine asiyekuwa Allaah , hapo kila kabila litajitengenezea mungu wake kama ilivyokuwa kwa waarabu kabla ya kufikiwa na dini tukufu ya kiislamu ilikuwa kila familia ina mungu wake.
Sasa hapa tutakuta wachaga Wana mungu wao, wasukuma, wakurya, wamakonde, wafipa nk Sasa hizo si vurugu wakati wanadamu tuna asili Moja toka kwa baba yetu Adamu na mama yetu Hawa?! Huoni kuwa ibada ya Mungu mmoja inawaweka wanadamu pamoja kuliko kila nchi na kila kibila kuwa na mungu tafauti na utaratibu tafauti wa kuabudu?!

Basi ninakujulisha kuwa dini ya uislamu ina lengo tukufu la kuwaunganisha watu wote wa nchi zote na makabila yote na lugha zote kumuabudu mungu mmoja Allaah bila kujali tafauti ya nchi zao , makabila yao Wala lugha zao wewe huoni kuwa hili ni jambo zuri?!
 
Allaah ni mungu wetu waislamu wa makabila na mataifa yote.
Sio kweli, usitake KUFOSI hiyo Allah wenu kwetu sisi sisi tumeumbwa na MUNGU/NGAI.

Huyo Allah mwenye kuongea KIARABU kaletwa hapa kwenye Pwani yetu na MAJAHAZI ya Biashara za UTUMWA kutoka UARABUNI.
 
Niqabs-in-the-Pandemic.jpg

Hawa Dada zetu wa Kiafrika wanahitaji UKOMBOZI.
 
979f284a6de558f8bbdc814a6274d85d.jpg
220px-South_Africa_-_Zulu_reed_dance_ceremony_(6482557081).jpg
5491f647517f42bb3fbbae820d4aafc8.jpg

Angalia Wanawake wetu wa Kiafrika wakiwa katika Mavazi yao ya Asili wanavyopendeza.
 
Mtume wenu alikuwa Mwarabu na Dini yake ya Kiarabu alichobadilisha ni kuondokana na Polytheism na kusimika Monotheism ndio maana WAARABU WENZAKE wakamchukia.

Lakini Rituals ni zile zile kama kuzunguka Kaaba na Kubusu Jiwe Jeusi.
Sasa wewe unataka turudi kwenye ibada za kuabudu miungu mingi kama walivyokuwa waarabu kabla ya uislamu na tuache kuabudu Mungu mmoja kama alivyofunfisha mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم!!!

Ibada ya kuzunguka Alkaaba na kubusu jiwe jeusi iliasisiwa na Nabii Ibraahiym عليه السلام na mwanae Nabii Ismaili عليه السلام kwa amri ya Allaah سبحانه وتعالى.
Sasa waarabu pamoja na upetovu wao wa kuabudu mizimu na masanamu hawakuacha ibada ya hijja iliyorithiwa kwa baba yao Ismaili na babu yao Ibraahiym عليهما السلام pamoja na kwamba walichanganya ibada ya hijja na vitendo vya kipagani mfano wao walikuwa wakiizunguka Alkaaba wakiwa uchi (bila nguo) wanawake na wanaume kama walivyozaliwa.!!
Sasa kwakuwa mtume صلى الله عليه وآله وسلم aliamrishwa na Allaah afuate mila za Nabii Ibraahiym akaiendeleza ibada ya hijja kwa kuondoa mambo ya kipagani ambayo waarabu walikuwa wameyaweka ndani ya ibada ya hijja kama hayo ya kuzunguka Al Kaaba bila nguo.
 
Sasa wewe unataka turudi kwenye ibada za kuabudu miungu mingi kama walivyokuwa waarabu kabla ya uislamu na tuache
Usinihamishe kwenye Mada nilikujibu uliposema Waarabu walimpinga Mohamed.

Nikasema Mohamed alikuwa Mwarabu na Dini yake ni ya Kiarabu alichobadilisha ni kuondokana na Polytheism ndio maana alichukiwa.

Lakini ibada za Wapagani za kuzunguka maka na kubusu JIWE JEUSI ziko palepale hadi leo.
 
f9e71dc58c7af3d773e07d53a7101471.jpg

Kabla ya Uisilamu Full Utamaduni wa KIAFRIKA na FURAHA tele.
23102018_france_full_face_veil.jpg

Baada ya Kusimishwa Full Arabized.

Tofauti iko wazi Mioyo imejazwa Chuki na self hate.
 
KISWAHILI.
Kwanini kiswahili wakati TZ tuna makabila 120+ na kila kabila Lina lugha yake?! Kuswali na kuadhini kwa kiswahili si kuwatia watu wa makabila mengine katika utumwa wa waswahili?!
 
Back
Top Bottom