Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru wa Tanganyika

Bwana Gwalihenzi,

Salaam sana wangu.

Hata nami nimefurahika mno,yakuwa hatimae tumekutanika tena!

Wacha kabumbu lianze sasa! Lakini naona wewe tayari umeshaanza kumchezea fouls Sheikh Mohamed Said!? Kwi! Kwi! Kwi!

Mimi nitakua "mshika kibendera" kwenye jamvi hili!

Ahsanta.
 
Hao mbona wote wameandikwa habari zao na Mwandishi huyu huyu aliyeleta habari za Dr. Kyarusi? pitia nyuzi zinazomhusu humu JF utawakuta wote hao.

Au mwambie tu akumwagie vipande humu humu akupe raha kidogo.

cc Mohamed Said
 
Gang Chomba

Huu ulimbo umenipasua mbavu.
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio kutokujua historia na misingi ya historia! nani anaweza kufuta matukio yaliyokwisha tokea? anachofanya mchochezi Mohamed Said ni kuyatafsiri matukio ya kihistoria kwa manufaa yake ya kishetani na sio vinginevyo!
Kwa faida ya JF tufahamishe kitabu cha historia ya Tanzania kinapatikana wapi?
 
Kwa faida ya JF tufahamishe kitabu cha historia ya Tanzania kinapatikana wapi?
Ritz, mbona unarudisha mjadala uliokwisha fungwa!mara ngapi mambo haya yameletwa hapa jamvini, mara nyingi ngano za huyo mzee wako zimechambuliwa hapa na ninyi wafia dini mkishia na histohisia zenu!
 
Hao mbona wote wameandikwa habari zao na Mwandishi huyu huyu aliyeleta habari za Dr. Kyarusi? pitia nyuzi zinazomhusu humu JF utawakuta wote hao.

Au mwambie tu akumwagie vipande humu humu akupe raha kidogo.

cc Mohamed Said

Tatizo hujielewi na hutaki kuelewa....think at molecular level....akili umeifunga kama hewa kwenye mpira.
 
Si ndio askofu wako huyo? tena nasikia kanisani kwake ana watumwa kibao kawabadilisha jina wanaitwa ma sista.

Shallow thinking ; nilijua huwezi chomoka hapo na udini wako !! Na huyu mbunge wenu hasiyejua kufikiria nje ya box...soma hiyo link uone ndugu zako wa dini waenda Arabuni kuteswa na kazi za ndani......
 
Mnaendelea kulishana ngano za masika tu,
 
Shallow thinking ; nilijua huwezi chomoka hapo na udini wako !! Na huyu mbunge wenu hasiyejua kufikiria nje ya box...soma hiyo link uone ndugu zako wa dini waenda Arabuni kuteswa na kazi za ndani......

Hahahahahah, ungekuja na hasira namna hiyo?

"Arabuni" ya wapi, Nzega au Bujumbura? dunia nzima kuna hizo kazi za ndani;

jisomee, labda utachaguwa Zurich au London; Imperial Nannies - Home Page - We supply live in, daily, temporary and overseas nannies or governesses for private homes worldwide.
 
Tatizo hujielewi na hutaki kuelewa....think at molecular level....akili umeifunga kama hewa kwenye mpira.

Umeuliza habari za Maji Maji, nikakujibu:

Hao mbona wote wameandikwa habari zao na Mwandishi huyu huyu aliyeleta habari za Dr. Kyarusi? pitia nyuzi zinazomhusu humu JF utawakuta wote hao.

Au mwambie tu akumwagie vipande humu humu akupe raha kidogo.

cc Mohamed Said

sasa naona unaruka tena kwa vishindo, khee, unanini weyee?
 
Your book is just about muslims who fought for Tanganyika independence, was this man a muslim?
Remote,
Inaelekea hujasoma kitabu changu.

Kitabu kimewataja wote walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru
Dk. Kyaruzi akiwa mmojawapo.

Usifanye haraka ya kulaumu kabla hujasoma yaliyoandikwa.
 
Sasa ulitaka aandike uwanja wa uhuru ulitawaliwa na maaskofu na kwaya?
 
Your book is just about muslims who fought for Tanganyika independence, was this man a muslim?

Katika hiyo nukuu ya Mohamed Said uliyoiweka hili hukuliona?

By Mohamed Said

Remote,
Inaelekea hujasoma kitabu changu.

Kitabu kimewataja wote walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru
Dk. Kyaruzi akiwa mmojawapo.

Usifanye haraka ya kulaumu kabla hujasoma yaliyoandikwa.
 
Last edited by a moderator:
Katika hiyo nukuu ya Mohamed Said uliyoiweka hili hukuliona?
Wote!!??, haiwezekani bhana, Mohamed Said mwenyewe alishawahi kusema kuwa kile kitabu ametunga kwa ajili ya wazee wake wa kiislamu ambao anadai wamesahaulika kwenye historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika.
Halafu wee m'mama mbona unajidai kumjibia?, aje mwenyewe anyooshe maelezo asituchanganyie habari,
Was Dr Kyaruzi a muslim?
 
Al akhy kumbe na wewe Umeona huyu jamaa ni mnafiki sana wao badala ya kujadili lililoletwa wanajadili jina la mzee MS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…