DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Aje acheze na mimi live tuone mnachezewa akili na huyo mkulima awezi kuchezea akili ya jinias lwiva ninaye piga draft la dalmax vibaya sana na ninalikubali sana dalmax ni draft zuri sana ukiweza kulifunga kwa wastani wa 70% basi hakuna kenge yoyote atakaye kuchezea ...nimecheki move za kete za mkulimq nimegundua mapungufu
 
Online unatumia ID gani wewe tura?
 
Mimi si amini kuwa ni bigwa kweli nimecheki anavyo cheza ni kawaida sana bora niendelee kupambana na DALMAX tu ndiyo naendana nayo
Dalmax watu wanalibutua SUTI

Lina kopi zipo limited ,kwa matura ,Dalmax wanaona limeshindikana

Kuna jamaa alikuja kijiweni akaliwekea DALMAX eti tutungane nalo ,aliliwa pesa Hadi akakimbia
 
MKULIMA huwa anaanza hivo hivo ,baadae mchezo wa 14 ,anaanza kutoa VIFINYO

HII MICHEZO 14 YA KWANZA ,kwa mcheza Darft fundi ,hizo huwa Ni SARE ,ukifungwa inaonekana Bado HUJALIMALIZA DRAFT
 
Wewe ndiyo mkulima janja yako nimeijua unaweza kudanganya wajinga wote ila siyo majinius ngoja nikutafutie muda nijiunge tucheze
 
Nimecheka hoyo mikwara ya Mkulima

So tunaweza finalize kuwa Mkulima ndio best player kwa Tanzania au kuna wengine wapo??
Huyo jamaa mkulima hamuwezi kumfunga hadi mimi genius niwapeni siri yake nimesha gundua siri yake ...huyu boya anawachezeeni trick kama za wanamazingaombwe tu ....kama mnabisha mtafuteni live mcheze naye draft muone kama anaweza hata kidogo ...kuna trick nimesha ijua anayo tumia kuwafungeni .. kama amniamini msakizieni acheze draft na mimi ...kwa kuwa mm nimefudhu draft za kwenye kompyuta ikiwemo dalmax hivyo hata kama akitumia ujanja anao tumia ambao mimi naujua awezi kunishinda ....leo ndiyo mineingia kwenye huu uzi nikashangaa watz jinsi mnavyo fanywa mazuzu kwa kuchezewa trick za darasa la 3 na huyo jamaa anaye jitaja kwa jina la mkulima.
 
Kama unazungumzia game analysis ya kwenye Dalmax utakuja lia. ila kwa matura utapata sare na magoli.
 
Dalmax watu wanalibutua SUTI

Lina kopi zipo limited ,kwa matura ,Dalmax wanaona limeshindikana

Kuna jamaa alikuja kijiweni akaliwekea DALMAX eti tutungane nalo ,aliliwa pesa Hadi akakimbia
Hakuna haja ya kubishana hapa sana ngoja nitajiunga nije nione kama huyo mkulima na niweza mimi ...the great kete ngumu
 
Kama unazungumzia game analysis ya kwenye Dalmax utakuja lia. ila kwa matura utapata sare na magoli.
Sijakuelewa mimi sijui majina ya magemu ya mitaani nacheza kwenye kompyuta chess ,draft , na kwenye chess ya dunia nipo daraja la kwanza ...nifafanulie hayo majina maana yake nini ...matura ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…