DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

M
 
Wakiwa bush huko wanasimulianaga story za mangwerere wanajua yupo mbagala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila siku napita manyanya namkuta na kina RONALDO... DOGO JANJA, CIACO

Waw
Kabisa ,wakati anashinda manyanya daily
 
Hii nchi ina siri nyingi sana, hivi mnaweza mkaamini kuwa mimi sielewi hata kimoja kinachojadiliwa hapa, haki ya nani tena sielewi kitu.
Nenda manyanya ulizia kijiwe Cha draft ulizia matula Tula kina Mangwelele Sisco Ronaldo waambie Mimi Paki Njia ni Tula mwenzenu nahitaji mnifundishe lugha ya Mchezo wa draft na namna ya kucheza draft Nile kichwa Cha mkulima, mfupa mgumu uliowashinda matula Tula nyie!!
 
*Mim ndio maana nasema siku zote mkulima anafungika endapo utapiga hesabu vzr Kuna chance ya kumfunga mkulima,,,,,,,

wale wanaosema et kwa sabab mkulima ni program haiwezi kufungwa ni uwongo,kuwa program haimaanishi haiwezi kufungwa kwa sababu nilishawah kusema hapa kuhesabu kete zote za draft kwa kila mitembeo na uzimalize ni hesabu complex sana ndio maana hata hizi program zinafikia level flan za juu za kuhesabu lakin hazimalizi,,,,,

ndio maana hata dalmax ni program lakin inafungwa,,na zimeshawah kuwepo program za draft kibao zikawa strong lakin zilifika mahali zikawa zinafungwa pia mfano kingsrow engine,, checkresboard,,Chinook,,nk...*
 
Na ile OJ 14 mkulima alikuwa anasakwa ila alikuwa anatoa sare huwezi kuamini
 
Ronaldo fundi mkubwa
 
Yaani wewe ndiyo unazidi kunivuruga kabisa. Mnatupiga code watanzania wenzenu hivihivi tukishuhudia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…