DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

M
Huyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote

Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draftmletr
 
Wakiwa bush huko wanasimulianaga story za mangwerere wanajua yupo mbagala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila siku napita manyanya namkuta na kina RONALDO... DOGO JANJA, CIACO

Waw
Kabisa ,wakati anashinda manyanya daily
 
Hii nchi ina siri nyingi sana, hivi mnaweza mkaamini kuwa mimi sielewi hata kimoja kinachojadiliwa hapa, haki ya nani tena sielewi kitu.
Nenda manyanya ulizia kijiwe Cha draft ulizia matula Tula kina Mangwelele Sisco Ronaldo waambie Mimi Paki Njia ni Tula mwenzenu nahitaji mnifundishe lugha ya Mchezo wa draft na namna ya kucheza draft Nile kichwa Cha mkulima, mfupa mgumu uliowashinda matula Tula nyie!!
 
*Mim ndio maana nasema siku zote mkulima anafungika endapo utapiga hesabu vzr Kuna chance ya kumfunga mkulima,,,,,,,

wale wanaosema et kwa sabab mkulima ni program haiwezi kufungwa ni uwongo,kuwa program haimaanishi haiwezi kufungwa kwa sababu nilishawah kusema hapa kuhesabu kete zote za draft kwa kila mitembeo na uzimalize ni hesabu complex sana ndio maana hata hizi program zinafikia level flan za juu za kuhesabu lakin hazimalizi,,,,,

ndio maana hata dalmax ni program lakin inafungwa,,na zimeshawah kuwepo program za draft kibao zikawa strong lakin zilifika mahali zikawa zinafungwa pia mfano kingsrow engine,, checkresboard,,Chinook,,nk...*
 
Na ile OJ 14 mkulima alikuwa anasakwa ila alikuwa anatoa sare huwezi kuamini
 
Nenda manyanya ulizia kijiwe Cha draft ulizia matula Tula kina Mangwelele Sisco Ronaldo waambie Mimi Paki Njia ni Tula mwenzenu nahitaji mnifundishe lugha ya Mchezo wa draft na namna ya kucheza draft Nile kichwa Cha mkulima, mfupa mgumu uliowashinda matula Tula nyie!!
Ronaldo fundi mkubwa
 
Yaani wewe ndiyo unazidi kunivuruga kabisa. Mnatupiga code watanzania wenzenu hivihivi tukishuhudia!!
 
Back
Top Bottom