EXCLUSIVE
Timu: Dogo Sisco Vs Cr7 Mnyama ( Confirmed )
Mdhamini: Boss Java
Zawadi: 300,000/= (winner 200k na Looser 100k )
Lini: Jumapili tarehe 15 January 2023 Saa tisa kamili jioni
Wapi: JAVA FAMILY LOUNGE ( Kitunda )
Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu
Mratibu: Masta Mtemi (15,000)
Photographer : Masta Mtemi
Kamisaa: Fidelis (10,000)
Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi laki moja kwa atakaefungwa kama Kifuta jasho na endapo mechi itaisha sare hawa jamaa watapewa laki na ishirini kila mmoja
Tajiri Mkubwa JAVA amesema wacha kiwake,, Wazaramo wanasema hawana ulimbo wa kutegela Ng'onzi,, na Waswahili wanasema asie na mwana aeleke Jiwe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mama Mkanye Mwanao