joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama wale Makirikiri, ingieni na mentality kama hamjala tatu kwa Mkapa.Hao wote wanaiogopa Simba vilevile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wale Makirikiri, ingieni na mentality kama hamjala tatu kwa Mkapa.Hao wote wanaiogopa Simba vilevile.
Mbona unalisha watu matango pori? Zalan ni ya South Sudan.Zalan ya South Africa
Big bullets ya Malawi
Aisee Uto wamepanda mtumbwi wa vibwengo....yan Al Hilal leo wameshusha striker la Bilioni 2 ahahahah kocha Ibenge
Kudhamiria bila kuwa na uwezo ni wehu uliopevuka.Kwa uzoefu wa Simba wa miaka minne mfululizo kwenye klabu bingwa Afrika, hakuna timu inatamani kukutana na Simba, na Simba haigopi kukutana na timu yoyote ile.
Kwanini?
Simba ilishadhamiria kuchukua ubingwa wa Afrika (kwa kuwa ina uwezo huo), hivyo iko tayari kukabiliana na timu yoyote.
Sio utopoloo hii, waza team yako ya kupigwa nje ndani,Hapo Simba anakufa nje ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi hapa.Young Africans trying to call CafCl group stage.
"The number you're calling is not reachable at the moment, please try again later"
Azam Cup au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka wetu huu! Tukichanga karata zetu vizuri, tunafika nusu fainali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni kisangaaa.Mtani kumbe mtakutana na Al Hilal ya Sudani, uke ya Ibenge iliyosajili wachezaji wa mabilioni.
Mtiti mnao, yani hii Al Hilal ambayo huwa inapishana makundi kila msimu. Ama kweli huu ni mwaka wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Licha ya hivyo, hao jamaa wamekuwa wakiingia hatua ya makundi mara kwa mara (misimu 4 mfululizo) tena wakiwa wa kawaida, hii leo na yale Mabilioni + kocha la viwango (Ibenge) waje kutolewa na team la FREE AGENT?
IBENGE kaambiwa kibarua kitaota nyasi asipofika nusu fainali, na jamaa limeshakuja Tz na team zaidi ya mara tatu.
Kweli Uto wamedandia mtumbwi wa Vibwengo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ibenge atawainamisha nyumban (Tz), na ghetton kwao (Sudan)Hapo sioni nafasi ya simba kupita.
Yanga kidogo afadhali
Ndo imekuwa bingwa mwaka huu, ka team kadogo tyuuhMwenye CV ya hao zalan atupie hapa
Mamelodi alitolewa na Petro AtleticoMsimu uliopita wamewatoa Mamelod
Ni Petro De Luanda, sio Atletico.Mamelodi alitolewa na Petro Atletico
Kati ya tarhe 09--11/09/2022Mechi zinaanza lini?
I mean ushuriki wao kwenye mashindano ya kimataifaNdo imekuwa bingwa mwaka huu, ka team kadogo tyuuh
Mmhhhh! Hii chai sasa, zalan ya SA? sio SSZalan ya South Africa
Big bullets ya Malawi
Yaani tunaitoa Big Bullets, baada ya hapo tunawatoabna Waangola! Tukikutana na Pyramid au Mamelod Sundowns nao tunawatoa! Baadaye tunaenda zetu nusu fainali.Azam Cup au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]