Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Tumbo limenikata sijui Ni la hofu au Kwanza game zinaanza lini mnk Moira sashv tanzania imekuwa Ni kila familia inafatilia
 
Aisee Uto wamepanda mtumbwi wa vibwengo....yan Al Hilal leo wameshusha striker la Bilioni 2 ahahahah kocha Ibenge

Ila miaka inaenda kasi sana, miaka hiyo hizo timu za Sudan zilikuwa zinahofia kukutana na timu za Tanzania...
 
Kwa uzoefu wa Simba wa miaka minne mfululizo kwenye klabu bingwa Afrika, hakuna timu inatamani kukutana na Simba, na Simba haigopi kukutana na timu yoyote ile.

Kwanini?
Simba ilishadhamiria kuchukua ubingwa wa Afrika (kwa kuwa ina uwezo huo), hivyo iko tayari kukabiliana na timu yoyote.
Kudhamiria bila kuwa na uwezo ni wehu uliopevuka.
 
Young Africans trying to call CafCl group stage.

"The number you're calling is not reachable at the moment, please try again later"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi hapa.
 
Mtani kumbe mtakutana na Al Hilal ya Sudani, uke ya Ibenge iliyosajili wachezaji wa mabilioni.

Mtiti mnao, yani hii Al Hilal ambayo huwa inapishana makundi kila msimu. Ama kweli huu ni mwaka wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni kisangaaa.
 
Licha ya hivyo, hao jamaa wamekuwa wakiingia hatua ya makundi mara kwa mara (misimu 4 mfululizo) tena wakiwa wa kawaida, hii leo na yale Mabilioni + kocha la viwango (Ibenge) waje kutolewa na team la FREE AGENT?

IBENGE kaambiwa kibarua kitaota nyasi asipofika nusu fainali, na jamaa limeshakuja Tz na team zaidi ya mara tatu.

Kweli Uto wamedandia mtumbwi wa Vibwengo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona watu wengi wanashindwa kuzitofautisha hizi team...
Ni ZALAN{SOUTH SUDAN} VS YANGA{TANZANIA} ...
Mshindi wa hapa anakutana na ST. GEORGE{ETHIOPIA} VS AL HILAL{SUDAN}
Siyo Al Ahly Ittihad kama wengi wanavyosema.
 
NYASA BIG BULLETS Vs SIMBA
Mshindi anakutana na kati ya
RED ARROWS VS 1° De AGOSTO... Huyu De AGOSTO ni tofauti na PETRO DE LUANDA wale walioingia CAFCL SEMI FINAL MWAKA JANA.
 
Azam Cup au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani tunaitoa Big Bullets, baada ya hapo tunawatoabna Waangola! Tukikutana na Pyramid au Mamelod Sundowns nao tunawatoa! Baadaye tunaenda zetu nusu fainali.

Kwa sasa tuna mshambuliaji wetu mzungu. Huyu atatuvusha mpaka nusu fainali.
 
Back
Top Bottom